Dar City yaahidi makubwa BAL

DAR City ikiwa katika maandalizi kwa ajili ya Ligi ya Kikapu Africa (BAL) 2026, meneja wa timu hiyo, Simon Joe amesema wanajipanga kufanya makubwa katika mashindano hayo wakilenga kutoa ushindani wa hali ya juu na kuandika rekodi mbalimbali. Mashindano ya BAL yamepangwa kuanza Machi 27, mwaka huu, yakiwa yamegawanywa katika makundi mawili yatakayochezwa katika nchi…

Read More

Sowah Hatihati Kutimuliwa Simba Kwa Utovu wa Nidhamu

Global Publishers March 17, 2026 0 Comments MSHAMBULIAJI namba moja wa Simba, Jonathan Sowah kuna hatihati kuondoka ndani ya kikosi hicho kutokana na tatizo la nidhamu. Sowah ndani ya NBC Premier League amefunga magoli matatu akiwa ni miongoni mwa wachezaji wenye magoli mengi ndani ya kikosi hicho. Kwa sasa Sowah hayupo kwenye mipango ya timu…

Read More

Dube atua anga za Wasauzi

UONGOZI wa Kaizer Chiefs ya Afrika ya Kusini, umeanza kumfuatilia mshambuliaji nyota wa mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Bara, Yanga, Mzimbabwe, Prince Dube, ambaye mkataba wake na kikosi hicho unafikia tamati mwishoni mwa msimu huu. Taarifa kutoka Afrika Kusini zinaeleza kuwa mabosi wa timu hiyo wanaangalia uwezekano wa kumpata mshambuliaji huyo, baada ya kupata ugumu…

Read More

Sheria mpya za soka 2026 kupiga vita kupoteza muda

MABADILIKO ya sheria za soka ambazo kimsingi zitaanza kufanya kazi wakati wa Kombe la Dunia 2026 kabla ya kuhamia karika ligi mbalimbali, yamemuibua mkufunzi wa waamuzi nchini, Soud Abdi ambaye pia aliwahi kuwa Mwenyekiti wa Kamati ya Waamuzi Tanzania, akisema yataondoa tabia ya janjajanja ya kupoteza muda ambayo imekuwa ikiharibu ladha ya mchezo. Akizungumza kuhusu…

Read More

Beki Yanga ampa mtihani Camara, wakongwe watia neno

KIPA raia wa Guinea, Moussa Camara, anakabiliwa na mtihani mzito unaomuweka njiapanda ya kuendelea kuitumikia Simba ambapo hivi sasa ameondolewa kwenye mfumo wa usajili na mkataba wake unamalizika mwisho wa msimu huu. Kuondolewa kwa Camara katika mfumo wa usajili, kunatokana na majeraha ya goti aliyoyapata na kumuweka nje kwa muda mrefu hali iliyofanya dirisha dogo…

Read More

Kilichotokea dakika 90, Mnyupe alivyoimaliza Dar Derby

ILE Dar es Salaam Derby kati ya Azam dhidi ya Yanga, imelizika kinyonge sana kwa timu hizo zikitoka bila kupatikana mshindi huku changamoto za waaamuzi zikiendelea kushika nafasi kwenye michezo hiyo mikubwa nchini. Mchezo huo uliopigwa Jumapili Machi 15, 2026 pale Benjamin Mkapa jijini Dar, umezifanya timu hizo ndani ya dakika 90 kushindwa kuonyesha mambo…

Read More

Mghana aingia anga za Singida BS

MABOSI wa Singida Black Stars, wameanza kumfuatilia kiungo mshambuliaji wa Gor Mahia FC ya Kenya, Mghana, Enock Morrison, ambaye hadi sasa hakuna mazungumzo ya kuongeza mkataba mpya huko alipo, baada ya huu wa sasa kufikia tamati mwishoni mwa msimu huu. Chanzo kutoka ndani ya timu hiyo, kimeliambia Mwanaspoti, Enock ni miongoni mwa wachezaji wanaofuatiliwa kwa…

Read More