Wanaotumia vibaya vyandarua vya msaada waonywa

Morogoro. Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Adamu Malima amekemea tabia ya baadhi ya watu kuchukua vyandarua wanavyogawiwa bure na Bohari ya Dawa (MSD) na kuvigeuza mabanda ya kufugia kuku, ama nyavu za kuvulia samaki. Kufuatia hilo, Malima amewataka    wakuu wa wilaya zote mkoani humo kufuatilia kwa karibu matumizi sahihi ya vyandarua hivyo. Malima ameyasema hayo…

Read More

Watatu waliohukumiwa kifo wakwaa kisiki Mahakama ya Rufaa

Arusha. Mahakama ya Rufaa imebariki hukumu ya kunyongwa hadi kufa waliyokuwa wamehukumiwa watu watatu baada ya kupatikana na hatia ya kumuua Peter Mwita kwa kumshambulia kumpiga na  matofali, vijiti, mbao na  chuma. Ilidaiwa siku ya tukio, pacha wa Peter, Zumba Mwita (shahidi wa tatu wa Jamhuri) alipopita eneo lililokuwa likiendelea kujengwa na warufani hao wakifanya…

Read More

TCAA YAANDAA IFTAR MAALUM KWA WATOTO WENYE UHITAJI

Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) imeandaa futari maalum kwa watoto wenye uhitaji kutoka Kituo cha Kulea Watoto wenye Uhitaji cha Zili, tukio lililolenga kuimarisha mshikamano wa kijamii na kuendeleza ujumuishi kwa makundi yenye mahitaji maalum. Hafla hiyo ilifanyika katika Makao Makuu ya TCAA jijini Dar es Salaam, na kuhudhuriwa na wadau wa sekta…

Read More

DMO kahama azomewa, Kihongozi akisikiliza kero za wananchi

Kahama. Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Kenani Kihongosi ametumia takribani saa tatu kusikiliza na kutatua kero za wananchi katika mkutano wa hadhara uliofanyika Uwanja wa Phantom mjini Kahama, huku Mganga Mkuu wa Wilaya (DMO), Baraka Msumi akizomewa na wananchi wakati akijibu malalamiko ya huduma za afya. Kihongosi yupo mkoani…

Read More

Dhamira ya mwanaharakati mchanga wa Kijapani kushiriki hadithi za walionusurika kwenye bomu la atomiki – Masuala ya Ulimwenguni

Suzuka Nakamura kutoka mji wa kusini mwa Japani wa Nagasaki, ambao pamoja na Hiroshima, ulilengwa na bomu la atomiki mwishoni mwa Vita vya Kidunia vya pili, amedhamiria kuunda jumba la makumbusho kuleta hadithi za hibakusha (walionusurika kwenye bomu la atomiki) kwa jamii zilizo mbali zaidi ya miji hiyo miwili. Bi. Nakamura, ambaye bibi yake alikuwa…

Read More