TPLB: TRA United v Simba mtatumia tiketi za awali

Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) imetangaza rasmi kuwa mchezo namba saba (7) wa Ligi Kuu ya NBC msimu wa 2025/2026 kati ya TRA United FC na Simba SC utafanyika Aprili 9, 2026 katika Sheikh Amri Abeid Stadium, kuanzia saa 10:00 alasiri. Mchezo huo ulikuwa uchezwe Machi 14, 2026 lakini uliahirishwa kufuatia mvua kubwa iliyonyesha…

Read More

Kituo cha taarifa mwarobaini kero za wananchi Mbarali

Mbarali. Wananchi wa Wilaya ya Mbarali mkoani Mbeya wameeleza matumaini yao baada ya Serikali kufungua Kituo cha Taarifa (Call centre), wakisema kitawasaidia kupunguza gharama za kusafiri umbali mrefu kuwasilisha kero na kupata ufumbuzi. Wakizungumza na Mwananchi kwa nyakati tofauti leo Jumamosi, Machi 7, 2026, katika Kata ya Igurusi, wamesema ujio wa mfumo huo utasaidia kuokoa muda…

Read More

Tausi FC wala haiwazi ubingwa, mipango ni hii

TAUSI FC imemtambulisha Baraka Kilasi kama moja ya makocha watakaounda benchi la ufundi akiungana na makocha wengine Wajerumani wawili ambao ni Paul Gomez na Martin. Kilasi ambaye ana uzoefu mkubwa katika ukocha amewahi kuwa kocha msaidizi wa Simba SC U20, Tazara FC ya Zambia na Young Boys FC inayoshiriki ligi kuu ya Zambia. Akizungumza na…

Read More

Mtihani wa makipa wazawa | Mwanaspoti

KIPA wa Mashujaa FC, Patrick Munthali ndiye aliyekuwa kinara wa clean sheet akifikisha 12 kwa wazawa msimu uliopita Ligi Kuu Bara, ambapo amezungumzia ugumu wa kuifikia rekodi hiyo. Munthali amesema alipata na majeraha, hivyo katika mechi sita dhidi ya Singida Black Stars, Pamba Jiji, Simba, KMC na Tanzania Prisons ndizo alipata cleansheets moja anayomiliki msimu…

Read More

WAZIRI MKUU AAGIZA WAKANDARASI KULIPA WAFANYAKAZI KABLA HAWAJACHUKULIWA HATUA

  Na, Seif Mangwangi, Michuzi TV, Arusha Waziri mkuu  Dkt.Mwigulu Nchemba amewataka wakandarasi wanaojenga miradi mbalimbali nchini kulipa stahiki za wafanyakazi wao kama walivyokubaliana kabla hatua za kisheria hazijachukuliwa dhidi yao. Akizungumza katika mkutano wa hadhara uliofanyika katika eneo linalojengwa soko la kisasa la  kilombero baada ya kutembelea mradi wa ujenzi wa stendi na soko…

Read More

Rais Samia atoa Bilioni 15 Maboresho Shule ya Polisi Kilimanjaro

Na Mwandishi Wetu,Kilimanjaro Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dkt.Samia Suluhu Hassan ametoa  Shilingi Bilioni 25 ikiwa ni utekelezaji wa ahadi aliyoitoa wakati wa Kikao cha Maafisa Wakuu Waandamizi wa Jeshi la Polisi kilichofanyika mwaka 2024 lengo ikiwa kuifanyia maboresho Shule cha Polisi Kilimanjaro ambacho kinakabiliwa na uchakavu wa Majengo ambayo yalijengwa tangu  mwaka 1933…

Read More