Simba yamfuata mrithi wa Djibrilla Kassali

TAARIFA zinasema Simba hivi sasa inajiandaa kuyaanza maisha ya msimu ujao wa 2026-2027 bila ya kipa wake wa sasa, Djibrilla Kassali, huku ikienda Nigeria kuzungumza na nyanda mmoja wa maana. Kama mazungumzo yatakwenda sawa kati ya Simba na kipa namba moja wa timu ya taifa ya Nigeria, Stanley Nwabali, huenda msimu ujao wa 2026-2027 akatua…

Read More

Ripoti ya CAG yafichua ‘bomu’ usafiri wa umma

Dar es Salaam. Usafiri wa umma mijini nchini Tanzania unakabiliwa na majanga, baada ya magari ya huduma za jamii kupungua kwa asilimia 55, huku daladala zikipungua kwa asilimia 19, hali inayochangiwa na uratibu usioridhisha wa mamlaka husika. Ukistaajabu kuporomoka kwa njia hizo za usafiri wa umma, utekelezaji wa malengo ya Mradi wa Mabasi Yaendayo Haraka…

Read More

Wasomali wa Kenya Wanajitahidi Kurudisha Uraia kutoka kwa Rekodi za Wakimbizi – Masuala ya Ulimwenguni

Wakenya wa kabila la Somalia walioingia kwenye kambi za wakimbizi wamekuwa wakihangaika kupata hati za vitambulisho vya kitaifa. Credit: Jackson Okata/IPS na Jackson Okata (garissa, kenya) Jumatano, Aprili 08, 2026 Inter Press Service GARISSA, Kenya, Aprili 8 (IPS) – Mwaka 2006, Amina Saida alikuwa na umri wa miaka miwili pekee wakati wazazi wake walipohamia kambi…

Read More

Ukitaka Penzi Lako Lidumu, Fanaya Haya Tangu Mwanzo!

HAKUNA muda ambao hisia za mapenzi na msisimko huwa mkubwa kama kipindi ambacho ndiyo kwanza mnaanzana. Ukiwauliza watu wengi leo ambao wanateswa na mapenzi, wanatamani siku zirudi nyuma ili warudie kufaidi mapenzi kama ilivyokuwa siku za mwanzo wakati wanaanzisha uhusiano. Hata hivyo, ni wachache wanaojua nini cha kufanya unapoanzisha penzi jipya ili hisia na msisimko…

Read More