Utoro kazini, ubadhirifu vyaongoza wanaofukuzwa kazi za umma
Dodoma. Utoro kazini na ubadhirifu wa mali za umma bado vinatajwa kuwa sababu kuu zinazopelekea migogoro na hatimaye watumishi wa umma kufukuzwa kazi. Kauli hiyo imetolewa leo Jumatano, Machi 18, 2026 na Kaimu Katibu wa Tume ya Utumishi wa Umma, John Mbisso wakati akitangaza mkutano wa tatu wa Tume hiyo unaotarajiwa kufanyika jijini Dodoma kuanzia…