Nida kubadili muundo vitambulisho vya Taifa

Dar es Salaam. Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (Nida) iko mbioni kuanza kutoa aina mpya ya Vitambulisho vya Taifa ambavyo vimeboreshwa na kuongezewa huduma nane ndani yake. Hayo yamesemwa na Mkurugenzi wa Uzalishaji wa Vitambulisho wa Nida, Edson Guyai katika mahojiano maalumu na Mwananchi yaliyofanyika Jumatatu, Februari 23, 2026. Wanufaika wa vitambulisho hivi vipya watakuwa…

Read More

Wasomali wa Kenya Wanajitahidi Kurudisha Uraia kutoka kwa Rekodi za Wakimbizi – Masuala ya Ulimwenguni

Wakenya wa kabila la Somalia walioingia kwenye kambi za wakimbizi wamekuwa wakihangaika kupata hati za vitambulisho vya kitaifa. Credit: Jackson Okata/IPS na Jackson Okata (garissa, kenya) Jumatano, Aprili 08, 2026 Inter Press Service GARISSA, Kenya, Aprili 8 (IPS) – Mwaka 2006, Amina Saida alikuwa na umri wa miaka miwili pekee wakati wazazi wake walipohamia kambi…

Read More

Hakuna maendeleo bila ushirikiano – Waziri Sangu

Rukwa. Jamii imetakiwa kuimarisha na kuenzi utamaduni wa ushirikiano kupitia majadiliano ya mara kwa mara, hatua itakayochangia kujenga Taifa lenye ustawi na maendeleo endelevu. Wito huo umetolewa na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Ajira na Mahusiano,  Deus Sangu, ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Kwela, wakati wa ziara yake katika…

Read More

Yanga Yamrudisha Abdihamid Moalin Kuinua Kiwango cha Timu

Global Publishers March 24, 2026 0 Comments Klabu ya Yanga, imetangaza kumrejesha kocha Abdihamid Moalin kuwa kocha Msaidizi chini ya Kocha Mkuu Pedro Gonçalves hatua ambayo klabu hiyo imeeleza kuwa imalenga kutatua changamoto ya kiufundi klabu hiyo inayopelekea kupata wakati mgumu kupata matokeo mazuri na kucheza vizuri. Taarifa ya Machi 23, 2026 iliyotolewa na klabu…

Read More

Mojtaba Khamenei Achaguliwa Kuwa Kiongozi Mkuu Mpya wa Iran

Global Publishers March 9, 2026 0 Comments Tehran, Iran – Mwanazuoni wa Kiislamu Mojtaba Khamenei amechaguliwa kuwa Kiongozi Mkuu mpya wa Iran, akimrithi baba yake Ali Khamenei, aliyekuwa akiongoza taifa hilo kwa miongo kadhaa. Mojtaba Khamenei, mwenye umri wa miaka 56, ni mmoja wa wanazuoni wa Kiislamu waliopata elimu yao katika seminari maarufu ya Qom…

Read More

Ofisa wa benki ahukumiwa kulipa Sh152 milioni kwa wizi

‎Dar es Salaam. Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imemhukumu aliyekuwa ofisa wa benki ya Equity Tanzania Limited, Lilian Koka (27), kulipa fidia ya Sh152 milioni baada ya kutiwa hatiani kwa kosa la wizi. Mbali na adhabu hiyo, Koka ambaye ni mkazi wa Ukonga, amehukumiwa kifungo cha nje cha miezi 12, akitakiwa kutotenda kosa lolote la…

Read More