Kizimbani kwa kujifnya mtumishi wa HESLB

Kigoma. Mkazi wa jijini Mbeya Nickolaus Komba (30), amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kigoma, akikabiliwa na makosa manne, likiwamo la kujifanya Ofisa wa Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu (HESLB) na kuwatapeli watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kakonko. Mtuhumiwa huyo alifikishwa mahakamani hapo kwa mara ya kwanza Machi 6, 2026 mbele ya…

Read More

Iran yashambulia kituo cha CIA Saudi Arabia

Riyadh. Kituo cha CIA kilichopo ndani ya ubalozi wa Marekani mjini Riyadh, kimeripotiwa kushambuliwa na droni zinazodaiwa kutoka Iran, katika tukio linaloashiria kuongezeka kwa mvutano wa kijeshi katika Ukanda wa Ghuba. Kwa mujibu wa vyanzo vya Saudi Arabia, droni mbili zilidondoka karibu na eneo la ubalozi na kusababisha moto mdogo pamoja na uharibifu wa mali,…

Read More

WASIRA:KARUME AMEFANIKISHA HAKI KWA KILA WANANCHI

-Awapongeza Rais Samia, Rais Mwinyi kwa kuendeleza mafanikio Na Mwandishi Wetu, Zanziba MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira, amesema kazi iliyofanywa na Muasisi wa mapinduzi na Rais wa Kwanza wa Zanzibar, hayati Sheikh Abeid Amani Karume, ndiyo inayowafanya Wazanzibari watembee kifua mbele kwa haki, uhuru na maendeleo. Aidha, amewapongeza Rais…

Read More

MAKAMU WA RAIS DKT .NCHIMBI ATOA WITO KWA WIZARA NA SEKTA ZA MAZINGIRA KUFANYA KAZI KWA USHIRIKIANO

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi ametoa wito kwa Wizara zinahusiana na Sekta ya Mazingira, kufanya kazi kwa ushirikiano ili kuwa na mpango wa pamoja utakaowezesha uhifadhi endelevu wa mazingira. Makamu wa Rais ametoa wito huo, wakati akifanya mazungumzo na Waziri wa Maliasili na Utalii Dkt. Ashatu Kijaji,…

Read More