El Mencho azikwa kwenye jeneza la dhahabu, ulinzi mkali

Mexico. Kiongozi wa genge la dawa za kulevya la Jalisco New Generation, Nemesio Oseguera Cervantes, maarufu El Mencho, amezikwa jana Jumatatu katika jeneza la dhahabu linalong’aa, likiwa limezungukwa na mashada makubwa ya maua na ulinzi mkali. Mazishi hayo yamevutia hisia mchanganyiko ya heshima, hofu na sintofahamu kwa wakazi wa jimbo la Jalisco. Jeneza hilo lilielezwa…

Read More

Happyness alivyoyaepuka mateso ya ndoa na kuangukia udereva

Dar es Salaam. Huenda baadhi ya changamoto wanazokumbana nazo wanawake katika ndoa, ikiwemo kuachika, zikawafanya waone dunia imewatupa na hawana namna tena ya kuendelea kuishi, lakini hali haikuwa hivyo kwa Happyness Aloyce (35), dereva wa mabasi ya mwendokasi, aliyeamua kugeuza maumivu yake kuwa nguvu ya kusonga mbele. Katika mahojiano yake na Mwananchi, Happyness anaeleza safari…

Read More

MoCU Yatangaza Nafasi za Kazi 20+ Katika Fani Mbalimbali, Mwisho wa Maombi Machi 27

Global Publishers March 16, 2026 0 Comments Dar es Salaam, Machi 16, 2026 – Moshi Co-operative University (MoCU) imefungua rasmi fursa za ajira kwa Watanzania katika nafasi mbalimbali za kielimu na utafiti kwenye Main Campus, Moshi na Kizumbi Institute of Co-operative and Business Education (KICoB), Shinyanga.  NAFASI ZA KAZI CHUO KIKUU CHA USHIRIKA MOSHI 14-03-2026…

Read More

Hii ndiyo tofauti ya kuoa, kuolewa na kuoana

Ndoa ni taasisi kongwe zaidi duniani, lakini bado inasalia kuwa mada yenye utata, hisia kali na tafsiri tofauti kulingana na utamaduni, dini na mabadiliko ya kijamii. Katika jamii yetu ya Kitanzania, maneno haya matatu: kuoa, kuolewa na kuoana hutumika kwa kubadilishana kana kwamba yana maana moja. Hata hivyo, wataalamu wa saikolojia na uhusiano wanabainisha kuwa…

Read More

TANZANIA YAJINADI UIMARISHAJI USAWA WA KIJINSIA NA UPATIKANAJI WA HAKI KWA WANAWAKE MKUTANO WA CSW 70.

Na WMJJWM New York Marekani Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imesisitiza mshikamano wake na nchi wanachama wa jumuiya ya kimataifa katika kuendeleza ajenda ya usawa wa kijinsia duniani. Akizungumza katika mkutano wa 70 wa kimataifa kuhusu masuala ya wanawake na haki, mwakilishi wa Tanzania katika Mkutano huo Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia,…

Read More

Ewura yatangaza bei mpya, mafuta yapanda

Dar es Salaam. Watumiaji wa bidhaa za mafuta Tanzania wataendelea kuugulia maumivu ya ongezeko la bei baada ya Mamlaka ya Udhibiti wa Nishati na Maji (Ewura) kutangaza bei kikomo zitakazotumika Machi mwaka huu. Katika bei hizo, watumiaji wa mafuta ya dizeli wameshuhudia ongezeko la bei zaidi ikilinganishwa na wale wa petroli na mafuta ya taa. Kwa…

Read More