KONGAMANO LA MISA TAN SUMIT 2026 LAFANA MKOANI IRINGA

🎈 Mkuu wa Mkoa wa Iringa Kheri James akaribisha kuwekeza Iringa 🎈NSSF yatoa elimu kwa wadau, wataka wajiunge wafaidike na Mafao Mkuu wa Mkoa wa Iringa Kheri James amefungua Kongamano la  MISA TAN WADAU SUMMIT 2026 ambao umewakutanisha waandishi wa habari, wahariri na wadau wa habari ambapo amesema serikali ya Mkoa wa Iringa itaendelea kushirikiana…

Read More

Usikose! Bashiri na Meridianbet Ushinde Samsung A26 Leo

Kupitia promosheni kabambe ya Bet Online, mteja anaweza kujishindia simu janja aina ya Samsung A26 na kutimiza ndoto zake. Changamkia fursa leo hii ujinyakule zawadi hii kutoka Meridianbet. Katika msimu huu wa burudani na ushindani mkali ndani ya ulimwengu wa soka, Meridianbet imewasha moto mpya unaowapa wachezaji wote sababu ya kuongeza hamasa wanapotazama na kubashiri…

Read More

‘Bundi’ alivyotua CCM Moshi, tafrani zaibuka kikaoni

Moshi. Hali si shwari, ndivyo unaweza kuelezea misuguano iliyopo ndani ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Manispaa ya Moshi huku baadhi ya viongozi na wanachama wakigawanyika katika makundi mawili yanayosigana. Ni kutokana na msuguano huo, kikao cha halmashauri kuu ya chama hicho ambacho kiliketi jana Jumamosi Machi 7, 2026 katika ukumbi wa CCM mkoa almanusura kisifanyike, kama…

Read More