The Blood of Sudan Must Never Be Silenced

By Moses Ntandu, Dar es Salaam, Tanzania On the land of Sudan, this month of Ramadan has not arrived with peace or hope. Instead, it has come to a country exhausted by war, torn apart by pain, and immersed in the grief of thousands of families who have lost their loved ones. The capital city,…

Read More

Ushuru wa kiraia unaongezeka, usumbufu wa kikanda unaenea Baraza la Usalama linapokutana – Masuala ya Ulimwenguni

© UNICEF/Dar al-Mussawir Wanafamilia wamepumzika barabarani huko Beirut, Lebanon, baada ya kutoroka nyumbani kwao kufuatia maagizo ya Israeli ya kuhama. Jumatano, Machi 11, 2026 Habari za Umoja wa Mataifa Huku mzozo wa Mashariki ya Kati ukiendelea kushuhudiwa katika eneo hilo, Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa linakutana leo kujadili hali inayozidi kuwa mbaya, na…

Read More

Wakulima wa parachichi walilia ukaguzi wa mizani

Rungwe. Wakulima wa Parachichi Wilaya ya Rungwe, mkoani Mbeya wameomba Wakala wa Vipimo (WMA), mkoani hapa kuingilia kati na kufanya ukaguzi wa kushtukiza ili kubaini uchakachuzi wa mizani ya kidigitali kutumika kuwaibia. Hatua hiyo imekuja kufuatia malalamiko ya muda mrefu ya wakulima hususani maeneo ya vijijiji kudai wanunuzi kutumia mizani iliyo nembo za mamlaka husika…

Read More

Wanne waliohukumiwa kunyongwa waachiwa huru

Arusha. Mahakama ya Rufani, imebatilisha adhabu ya kunyongwa hadi kufa kwa watu wanne waliokutwa na hatia ya mauaji na kuamuru waachiliwe huru baada ya kubaini kulikuwa na kasoro za kisheria katika mwenendo wa kesi yao. Agosti 15, 2018 walidaiwa kumuua mke wa  mfanyabiashara wa dhahabu, Mwasi Kakolo na kuiba fedha Sh30 milioni na gramu 260…

Read More

MODULI YA RUFAA ITACHANGIA KUBORESHA MNYORORO WA UGAVI

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba (Mb), akizindua rasmi Sera Taifa ya Usimamizi wa Mnyororo wa Ugavi ya Mwaka 2025 katika Ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete, Jijini Dodoma. Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba (Mb), (Katikati Kulia), akiwa na Waziri wa Fedha,…

Read More

Hekaya za Mkevi: Guantanamo ndani ya Bongo!

Dar es Salaam. Baada ya kubainika kuwa mifungo ya Ramadhan na Kwaresma ingeanza kwa pamoja, mlevi mmoja alipita mitaani akiyumba na kubwata: “Makobe (wasiofunga) mwaka huu imekula kwenu… mwaka huu mtaandamana! Leo ndio tutakujua wewe unaitwa Jimmy au Juma…  Mwaka huu utatafuta pa kujificha usipaone!” Alitembea na chupa yake mtaa mzima akirudia bwato lake kuhakikisha…

Read More