Planet, Bandari kazi ipo fainali Dunda Swish Basketball Tournament
FAINALI ya kwanza ya Dunda Swish Basketball Tournament, inatarajia kufanyika keshokutwa (Jumapili) ikizikutanisha Bugando Planet na Bandari Mwanza, kwenye Uwanja wa Mirongo, Mwanza. Fainali hiyo ambayo inasubiriwa kwa hamu na mashabiki wa timu hizo, itachezwa kwa mfumo wa kucheza michezo mitatu ‘best of three play off’ na ubora wa timu hizo unachangia mvuto. Endapo timu…