Sio Ibenge wala Pedro Daresalaam Dabi

LICHA ya kushuka dimbani ikiwa na safu kali ya ushambuliaji inayoundwa na washambuliaji hatari wa Ligi Kuu Bara kwa sasa, Depu na Prince Dube, wenye jumla ya mabao 12, Yanga imeshindwa kuonyesha makali yake mbele ya lango baada ya kutopiga hata shuti moja lililolenga lango la Azam FC katika mchezo uliomalizika kwa suluhu. Mchezo huo…

Read More

Wanyarwanda watamani historia ya mauaji ya kimbari ifundishwe darasani

Kigali. Wanyarwanda waliohudhuria kumbukizi ya mauaji ya Kimbari nchini Rwanda wameonyesha mitazamo yao wakitamani historia hiyo ifundishwe darasana kutokana na kubeba mafunzo mengi. Kijana Yusufu Bhangula (25) amesema umefika wakati kwa Serikali ya Rwanda kuanza kufikiria namna ya kujumuisha historia ya mauaji ya kimbari ya mwaka 1994 katika mitaala ya shule, kwa lengo la kuelimisha…

Read More

Chama la Samatta hatarini kushuka daraja

KLABU ya Le Havre AC anayoichezea mshambuliaji wa Kitanzania, Mbwana Samatta iko kwenye nafasi mbaya na hatari ya kushuka daraja kama haitashtuka mwishoni. Le Havre iko nafasi ya 15 kwenye msimamo wa ligi, nafasi ambayo siyo salama kutokana na tofauti ndogo ya pointi na timu zinazopigania kubaki kwenye ligi hiyo. Timu hiyo imekusanya pointi 26…

Read More

Ripoti ya CAG yaibua madudu mengine miradi AFCON 2027

RIPOTI ya ukaguzi wa miradi ya maendeleo kwa mwaka wa fedha 2024/2025 ya Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), imebaini ongezeko la gharama katika ujenzi na ukarabati wa viwanja vya Arusha na Benjamin Mkapa vitakavyotumika katika Fainali za Mataifa ya Afrika (AFCON) 2027. Kwa Uwanja wa Benjamin Mkapa ambao unafanyiwa ukarabati, CAG amebaini makosa…

Read More