Kihongosi Ampongeza Mbunge Shigongo Kwa Utendaji Mzuri Buchosa – Video
Global Publishers March 14, 2026 0 Comments Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Kenani Kihongosi, amempongeza Mbunge wa Jimbo la Buchosa, Eric Shigongo, kwa utendaji wake mzuri na juhudi anazozifanya kuwatumikia wananchi wa jimbo hilo. Kihongosi ametoa pongezi hizo wakati wa ziara yake katika Jimbo la Buchosa, akisema kuwa…