Mapendekezo ya wanazuoni wa Kiislamu makali ya mafuta

Dar es Salaam. Umoja wa Wanazuoni wa Kiislamu Tanzania, wamependekeza Serikali ipunguze au kuondoa baadhi ya kodi na tozo katika nishati ya mafuta, ili kunusuru uchumi wa wananchi dhidi ya makali ya mfumuko wa bei unaochochewa na migogoro ya Mashariki ya Kati. Mengine yaliyopendekezwa na jumuiya hiyo ni Serikali kuangalia upya bei za pembejeo za…

Read More

KERRY 2026 TASTE CHARTS REVEAL TANGERINE, TAMARIND, AND MANGO CHILLI DRIVE A CONTINENT-WIDE SHIFT IN FLAVOUR

 *********** TANZANIA, Dar Es Salaam – Kerry, the global leader in taste and nutrition, has unveiled the Tanzania 2026 Taste Charts, highlighting a definitive shift in consumer palates across the continent. The new reports, covering 54 countries across Africa, including Tanzania, Kenya, Uganda, Rwanda, and Zambia, signal that African consumers are moving beyond traditional staple…

Read More

Mara yapanga bajeti ya Sh488.9 bilioni

Musoma. Sekretarieti ya Mkoa wa Mara pamoja na Mamlaka za Serikali za Mitaa mkoani humo zinatarajia kutumia zaidi ya Sh488.9 bilioni katika mwaka wa fedha 2026/27 kwa ajili ya kutekeleza shughuli za sekretarieti ya mkoa na mamlaka za serikali za mitaa. Kiasi hicho cha fedha kinatarajiwa kutumika kwa ajili ya mishahara, matumizi mengineyo na miradi…

Read More

The Blood of Sudan Must Never Be Silenced

By Moses Ntandu, Dar es Salaam, Tanzania On the land of Sudan, this month of Ramadan has not arrived with peace or hope. Instead, it has come to a country exhausted by war, torn apart by pain, and immersed in the grief of thousands of families who have lost their loved ones. The capital city,…

Read More

WAZIRI WA MIFUGO AIPONGEZA TADB KWA KUREJESHA USHIRIKA WA WAFUGAJI, AZINDUA VITUO VYA KUKUSANYIA MAZIWA

Na Diana Deus-  Kagera. Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB), kwa kushirikiana na Serikali kupitia Wizara ya Mifugo na Uvuvi, imezindua rasmi vituo 23 vya kukusanyia maziwa (Milk Collection Centers – MCCs) vilivyojengwa na kuboreshwa kupitia Mradi Shirikishi wa Wasindikaji na Wazalishaji wa Maziwa Tanzania (TI3P). Waziri wa Uvuvi na Mifugo, Dkt. Bashiru Ally…

Read More

WANANCHI WA MOHORO WAMSHUKURU RAIS SAMIA

-Mhe. Mchengerwa afuturisha, Mohoro, Chumbi,Mbwala na Shela -Maelfu ya wananchi washiriki futari, wamsifu Mchengerwa Na Yohana Kidaga- Mohoro Wananchi wa kata nne za Muhoro, Chumbi, Mbwala na Shela katika wilayani Rufiji wamemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuendelea kutoa fedha katika miradi mbalimbali ya maendeleo katika Wilaya…

Read More

Mbunge Kabati awarejeshea tabasamu wenye ulemavu 13

Iringa. Furaha na shangwe zimetawala katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Iringa, baada ya watu 13 wenye ulemavu kukabidhiwa viungo bandia vya miguu vilivyogharimiwa na Mbunge wa Kilolo, Ritta Kabati kupitia Taasisi ya Ritta Kabati Trust Fund. Wanufaika hao wamesema kwa muda mrefu walikwamishwa na gharama kubwa za viungo saidizi, hali iliyowafanya waendelee kuishi…

Read More