Bares aondoka KMC, aweka imani kwa kocha ajaye
BAADA ya Kocha Abdallah Mohamed ‘Bares’ kufikia makubaliano ya kuachana na KMC, amesema anaamini mbadala wake atakuwa na jambo la kushauri ili kuhakikisha timu hiyo inasalia Ligi Kuu Bara kwa msimu ujao. Bares alisema siyo jambo jema kuizungumzia KMC kwa sasa baada ya kuondoka, lakini anachoamini bado ina nafasi ya kupambania malengo yake, akitumia kauli…