Mwanafunzi afariki dunia kwa kupigwa na radi Tabora

Tabora. Mtoto mmoja, Aishara Shingu (11), aliyekuwa mwanafunzi wa darasa la sita katika Shule ya Msingi Ussoke iliyopo Wilaya ya Urambo mkoani Tabora, amefariki dunia na watu wengine watano wakijeruhiwa baada ya kupigwa na radi. Akizungumzia tukio hilo leo Aprili 9, 2026, Kamanda wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Mkoa wa Tabora, Loshipay Laizer amesema…

Read More

Bodi ya Ligi Zanzibar yachukua hatua vipigo vya waamuzi

KATIKA Ligi Kuu ya Zanzibar (ZPL), bado waamuzi wameendelea kuteseka kwa kuchezea vipigo kutoka kwa mashabiki, viongozi na hata wachezaji. Hata hivyo, Bodi ya Ligi Zanzibar, imeendelea kuchukua hatua mbalimbali ikiwemo kuwafungia mashabiki na viongozi wa  timu kushiriki katika mashindano yoyote yanayoandaliwa na Shirikisho la Mpira wa Miguu (ZFF). Licha ya adhabu hizo, lakini sio…

Read More

Shamba la Bahati Lipo Kukupa Nafasi Ya Kuondoka Na Mali Kubwa

MERIDIANBET imekuja tena, na sasa kiuwazi kabisa wanakwambia kwamba mali ipo shambani. Lakini si shamba la kawaida, hapa hupandi mahindi wala mihogo. Hapa unalima bahati yako, unalima bashiri zako, na mavuno ni ushindi mkubwa. Ukiingia shambani hapa, kila hatua ni nafasi ya kushika pesa nyingi zaidi ya unavyoweza kufikiria. Usikose nafasi hii ya kipekee. Fortune…

Read More

ENDELEENI KUIMARISHA UFUATILIAJI WA UTEKELEZAJI WA MTAALA ULIOBORESHWA.

Serikali imeitaka Taasisi ya Elimu Tanzania kuendelea kuimarisha ufuatiliaji wa tathimini ya utekelezaji wa  mitaala iliyoboreshwa ili kuleta matokeo chanya katika jamii. Hayo yamesemwa leo tarehe 4/3/2026 na Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia  Mhe. Wanu Hafidh Ameir alipofanya ziara ya siku moja katika taasisi hiyo ili kupata uelewa wa majukumu mbalimbali yanayofanywa na…

Read More

Vibanda 72 vyafungwa Mbozi, wafanyabiashara wagoma

Songwe. Jumla ya vibanda 72 vinavyozunguka Soko la Ichenjezya, wilayani Mbozi Mkoa wa Songwe, vimefungwa na maofisa mapato wa halmashauri kufuatia mgogoro wa malimbikizo ya kodi ya pango. Hatua hiyo imeelezwa kuchochewa na madai ya kutolipwa kwa kodi tangu mwaka 2021 katika vibanda hivyo. Kufungwa kwa vibanda hivyo kumesababisha wafanyabiashara 167 wanaofanyia biashara ndani ya…

Read More