ZFDA yateketeza kilo 2,447 za nyama zilizoharibika

Unguja. Wakala wa Chakula na Dawa Zanzibar (ZFDA) umeteketeza kilo 2,447 za nyama mchanganyiko baada ya kubainika kuwa hazifai kwa matumizi ya binadamu. Akizungumza baada ya kuteketeza nyama hizo leo Jumapili Machi 8, 2026 katika jaa kuu la Serikali Kibele, Daktari wa Mifugo wa ZFDA, Thamra Khamis Salum amesema bidhaa hizo ziliingizwa nchini na Kampuni…

Read More

Mojtaba Khamenei Achaguliwa Kuwa Kiongozi Mkuu Mpya wa Iran

Global Publishers March 9, 2026 0 Comments Tehran, Iran – Mwanazuoni wa Kiislamu Mojtaba Khamenei amechaguliwa kuwa Kiongozi Mkuu mpya wa Iran, akimrithi baba yake Ali Khamenei, aliyekuwa akiongoza taifa hilo kwa miongo kadhaa. Mojtaba Khamenei, mwenye umri wa miaka 56, ni mmoja wa wanazuoni wa Kiislamu waliopata elimu yao katika seminari maarufu ya Qom…

Read More

CM YAMG’OA KIGOGO UWANJA WA MKWAKWANI

Na Oscar Assenga,TANGA KAMATI ya Siasa ya Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Tanga imeagiza kusimamishwa kazi Meneja wa Uwanja wa Mkwakwani Akida Machai kutokana na mapungufu mbalimbali yaliyobainika wakati wa ziara ya kamati hiyo kwa ajili ya kujionekana maendeleo yake. Akizungumza kuhusu maamuzi hayo ,Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Tanga Rajab Abdurhaman ambapo alisema…

Read More

Jamhuri ya Afrika ya Kati yaingia katika awamu ya ‘maamuzi’ baada ya uchaguzi wa kihistoria – Masuala ya Ulimwenguni

Muhtasari wa Baraza la Usalama Jumatano, Mwakilishi Maalum Valentine Rugwabiza alisema uchaguzi wa tarehe 28 Disemba 2025 uliashiria “hatua muhimu katika uimarishaji wa mchakato wa amani na mamlaka ya Serikali.” Uchaguzi wa pamoja wa rais, wabunge, mikoa na manispaa – ikijumuisha kura za kwanza za manispaa tangu 1988 – ziliwakilisha “oparesheni kubwa zaidi za uchaguzi…

Read More