Rais Samia Ashiriki Swala ya Eid Msikiti Mkuu wa Mfalme Mohammed VI Kinondoni, Dar (Picha +Video)
Global Publishers March 21, 2026 0 Comments Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameshiriki swala ya Eid El-Fitri katika Msikiti Mkuu wa BAKWATA (MfalmeMohamed VI), Kinondoni jijini Dar es Salaam tarehe 21 Machi, 2026. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, ameshiriki swala ya Eid al-Fitr katika…