Wataalamu wa maabara wajengewa uwezo kukabili kipindupindu

Dar es Salaam. Serikali kupitia Maabara ya Taifa ya Afya ya Jamii imejipanga kuimarisha ufuatiliaji na kuwajengea uwezo wataalamu wa afya nchini ili kuboresha utambuzi wa haraka wa kipindupindu, hatua itakayosaidia kudhibiti ugonjwa huo kabla haujasambaa. Hayo yamebainishwa Machi 13, 2026 jijini Dar es Salaam na Mkurugenzi wa maabara hiyo, Ambele Mwafulango, wakati akifunga mafunzo…

Read More

Donald Trump Akosolewa na Mshauri wake Kuhusu Vita na Iran

Global Publishers March 17, 2026 0 Comments Mmoja wa washauri wa karibu wa Rais wa Marekani, David Sacks, amemkosoa hadharani Donald Trump kuhusu vita vinavyoendelea dhidi ya Iran, akionya kuwa mzozo huo unaweza kuongezeka na kusababisha hatari ya matumizi ya silaha za nyuklia. Sacks, ambaye ni mshauri wa Trump anayeshughulikia masuala ya akili bandia (AI)…

Read More

Wananchi Simiyu wataka udhibiti dawa zilizokwisha muda wake

Simiyu. Baadhi ya wananchi mkoani Simiyu wametaka kuwepo kwa udhibiti mkali wa dawa na vifaatiba vilivyoisha muda wa matumizi ili kulinda afya za jamii. Wakizungumza na Mwananchi leo Aprili 9, 2026, wananchi hao wamesema bado kuna hatari ya bidhaa hizo kuendelea kuonekana katika baadhi ya maduka ya dawa. Mkazi wa Bariadi mjini, Silvester Lupembe amesema…

Read More

Katibu mkuu Uwekezaji awauma sikio wafanyakazi Tiseza

Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Uwekezaji, Dk Fred Msemwa amewataka watumishi wa Mamlaka ya Uwekezaji na Maeneo Maalumu ya Kiuchumi (Tiseza), kuondoa hulka ya kufanya kazi kwa mazoea kutokana na jukumu kubwa walilonalo katika kuchangia pato la Taifa kupitia uwekezaji. Dk Msemwa amesema hayo leo Ijumaa, Aprili 10, 2026 wakati anafungua Baraza la kwanza la…

Read More

Mbaroni akidaiwa kumuua mtoto mchanga baada ya kujifungua

Morogoro. Jeshi la Polisi Mkoa wa Morogoro linawashikilia watu wawili kwa tuhuma za mauaji, akiwemo mwanamke anayedaiwa kumuua mtoto wake mchanga baada ya kujifungua. Akizungumza na waandishi wa habari leo Machi 6, 2026, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro, Alex Mkama, amesema jeshi hilo linamshikilia mkazi wa Mlima, wilaya ya Kilombero, Elizabeth Leonard Colnery (17),…

Read More

Waongoza watalii watakiwa kuchukua tahadhari

Serengeti. Wakati Serikali ikiendelea kuchukua hatua za kukabiliana na athari za mvua zinazoendelea kunyesha, waongoza watalii wametakiwa kuchukua tahadhari wanazopewa na vikosi vya uokozi katika maeneo korofi katika Hifadhi ya Taifa Serengeti. Mamkala ya hifadhi hiyo imesema itaendelea kuhakikisha shughuli za utalii zinaendelea kama kawaida huku usalama wa watumiaji wa barabara, wakiwemo watalii, wanaowaongoza na…

Read More