TPA yasimamisha ada mpya za uendelezaji hadi Julai 1

Dar es Salaam. Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) imetangaza kusitisha matumizi ya ada ya uendelezaji wa miundombinu ya bandari (PID) iliyoanza utekelezaji Machi 8, 2026 na itaaanza tena kutumika Julai Mosi, 2026. Kusitishwa kwa utozaji ada hiyo kumetokana na maombi kutoka kwa wadau mbalimbali wa bandari walioomba kupatiwa muda zaidi kabla ya kuanza…

Read More

Ulimwengu Mpya wa Ujasiri na Ushindi Upo Ndani Ya Vaso Psycho Ya Meridianbet

Global Publishers February 28, 2026 0 Comments Meridianbet imeendelea kuleta mapinduzi katika burudani ya mtandaoni kwa kuzindua Vaso Psycho, uliotengenezwa na Expanse Studios unaowalenga wachezaji jasiri. Huu ni mchezo unaotoa nafasi ya kuonyesha mbinu, akili na uthubutu wako. Vaso Psycho umeundwa kwa ajili ya wale wanaotafuta ushindi wa kiwango cha juu. Katika kila mzunguko wa…

Read More

Waziri Kapinga aanza ziara China ya kuvutia uwekezaji

China. Waziri wa Viwanda na Biashara, Judith Kapinga ameanza ziara ya kikazi ya siku tatu nchini China yenye lengo la kuhamasisha uwekezaji katika sekta za viwanda na biashara nchini. Ziara hiyo imeanza katika Jiji la Hangzhou, lililopo katika Jimbo la Zhejiang. Tayari waziri huyo ameshiriki kongamano la wafanyabiashara na wawekezaji takribani 100 lililoandaliwa na China…

Read More

ZAIDI YA WAJASIRIAMALI 600 KUSHIRIKI MAONESHO YA SIDO MKOANI SHINYANGA

Shirika la Maendeleo ya Viwanda Vidogo (SIDO) limetangaza kuwa Maonesho yake ya Tano ya Kitaifa yanatarajiwa kufanyika Oktoba 21 hadi 30, 2026 katika Uwanja wa Magufuli uliopo Manispaa ya Kahama, mkoani Shinyanga, yakilenga kuinua uchumi wa wajasiriamali wadogo nchini. Akizungumza Aprili 10, 2026 na wajasiriamali kuhusu maandalizi ya maonesho hayo, Mkurugenzi Mkuu wa SIDO, Silvester…

Read More