Mambo ya kuzingatia unapokula matunda

Dar es Salaam. Matunda ni chakula cha asili chenye virutubisho vingi muhimu kwa afya ya binadamu. Matunda yanaweza kuwa matamu, machungu au kuwa na ladha ya wastani, na mengi huliwa mabichi hali inayosaidia kuhifadhi virutubisho vyake kwa kiwango kikubwa. Ofisa lishe mtafiti kutoka Taasisi ya Chakula na Lishe Tanzania (TFNC), Fatma Juma, anataja mambo  muhimu…

Read More

Fidia Sh2.9 bilioni yafungua njia mradi wa maji Mbeya

Mbeya. Serikali imeanza mpango wa kumaliza kero ya maji mkoani Mbeya baada ya kutoa zaidi ya Sh2.9 bilioni kulipa fidia kwa wananchi wanaopisha mradi wa kimkakati wa maji kutoka Mto Kiwira wilayani Rungwe. Fidia hiyo inahusisha wananchi 819 waliokuwa na mashamba na makazi katika vijiji 10 vinavyopitiwa na mradi huo, pamoja na makaburi 79 yaliyohamishwa…

Read More

Mbongo asaini miwili Uturuki | Mwanaspoti

MTANZANIA mwingine Emmanuel Mlefu amejiunga na Sisli Yeditepe inayoshiriki Ligi ya Walemavu Uturuki kwa mkataba wa miaka miwili. Mlefu anaungana na Mtanzania mwenzie Shedrack Hebron ambaye yupo klabuni hapo tangu msimu wa 2023 akitokea Sauti Para Sports ya Tanzania na ndiye aliyefanikisha dili hilo kwa kushawishi mabosi wa timu hiyo kumsajili. Akizungumza na Mwanaspoti, Hebron…

Read More

Coca-Cola Kwanza Ltd drives growth with Tuk-Tuk Incentive

Coca-Cola Kwanza (CCK) handed over six Tuk-Tuks to top performing Official Coca-Cola Distributors as part of a Returnable Glass Bottle (RGB) incentive programme run in the fourth quarter of last year. The Tuk-Tuk incentive was open to all qualifying distributors of CCK products and aimed to reward those businesses driving growth and ensuring that a…

Read More

BRELA KUIMARISHA URASIMISHAJI NA MIFUMO YA KIDIJITALI

Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA), yatakiwa kuongeza kasi ya urasimishaji wa biashara na kuimarisha mifumo ya kidijitali ili kuchochea ufanisi na ukuaji wa uchumi kwani BRELA ni lango kuu la uwekezaji nchini. Hayo yamesemwa na Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Judith Kapinga (Mb), Machi 04, 2026, wakati akifungua Baraza la wafanyakazi…

Read More