SUNI BHARTI MITTAL ATUNUKIWA TUZO YA MAISHA YA GSMA KWA MAGEUZI YA SEKTA YA MAWASILIANO DUNIANI.

New Delhi, Machi 2, 2026: GSMA imemtunuku Tuzo ya Maisha (Lifetime Achievement Award) Sunil Bharti Mittal, Mwanzilishi na Mwenyekiti wa Bharti Enterprises, kwa kutambua mchango wake mkubwa katika kubadili na kuunda upya taswira ya mawasiliano ya simu duniani pamoja na kupanua wigo wa upatikanaji wa huduma za mawasiliano kwa waendeshaji, serikali, biashara na mabilioni ya…

Read More

Bandari, Planet kinapigwa fainali ya pili

JOTO la fainali ya pili ya Dunda Swish Tournament linazidi kuzikumba timu za Bandari Mwanza na Bugando Planet. Fainali hiyo itafanyika Machi 15, 2026 katika Uwanja wa Mirongo mjini Mwanza, ikitanguliwa na mchezo wa fainali ya wanawake kati ya Eagle Queens na Court Queens. Nyota wa Bandari Mwanza, Alphonce Kasekwa alisema timu yake imekuwa ikirekebisha…

Read More

Mamilioni ya Waafrika wako hatarini kupata kisukari

Wataalamu wanaonya kuwa ugonjwa huo unaweza kuwa utafiti zaidi zaidi ya watu katika miongo ijayo kama vyanzo vinavyosababisha havitafanyiwa kazi. Mlinzi Sibusiso Sithole, mwenye umri wa miaka 51, alipogunduliwa kuwa ana aina ya aina ya Type 2 miaka 13 ilikua mshtuko kwake. Alikuwa akitembea mail sita kila siku kwenda na kutoka kazini kila siku ,…

Read More

KIKUNDI CHA AMANI NCHINI WAFANYA MKUTANO MAALUMU ULIOLENGA KUHAMASISHA UZALENDO NA KUELEZEA MAFANIKIO YA SERIKALI

Na Oscar Assenga,Tanga KIKUNDI cha Amani nchini kimefanya mkutano maalumu leo katika Jiji la Tanga uliolenga kuhamasisha uzalendo, kuelezea mafanikio ya Serikali na kupongeza utekelezaji wa ahadi za siku 100 za Rais tangu alipochaguliwa 2025. Akizungumza wakati wa mkutano huo Maalumu Mwenyekiti wa Kikundi hicho nchini Hassan Kubebelwa alitoa wito kwa watanzania hususani vijana wametakiwa…

Read More

MALALAMIKO YA VIWANJA MBADALA YAPATIWA UFUMBUZI DODOMA

Na Munir Shemweta, WANMM Serikali kupitia Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi imeyapatia ufumbuzi malalamiko ya muda mrefu ya viwanja mbadala kwa wananchi wa jiji la Dodoma. Suluhisho hilo linafuatia malalamiko ya takriban wananchi 4000 wa jiji la Dodoma wanaodai viwanja na halmashauri ya jiji la Dodoma kuwapa ahadi bila kutekeleza mpaka sasa.Kauli…

Read More

Kongole Wizara ya Maji kwa mafanikio ya programu ya WSDP

Na: Dk. Reubeni Lumbagala Wizara ya Maji inatekeleza programu mbalimbali za kimaendeleo zenye lengo la kuboresha usambazaji wa maji kwa wananchi wake na kufanikisha miradi mingine ya umwagiliaji ambayo ni kichochea muhimu kwa ustawi wa shughuli za kiuchumi kama kilimo, viwanda na huduma nyingine za kijamii. Miongoni mwa mipango inayosimamiwa na Wizara ya Maji yenye…

Read More

FCC Yaimarisha Ulinzi wa Mlaji Katika Soko la Vifaa vya Ujenzi

Na Mwandishi Wetu Dar es Salaam. Tume ya Ushindani (FCC) imesema wazalishaji wa vifaa vya ujenzi wana wajibu wa kumlinda mlaji kwa kuhakikisha wanazalisha na kuuza bidhaa zenye ubora unaolingana na thamani ya fedha anayolipa mnunuzi. FCC imeeleza kuwa ni muhimu kwa wazalishaji kuzingatia viwango vinavyotakiwa katika uzalishaji wa vifaa vya ujenzi ili kuepusha uwepo…

Read More