Mradi wa Sh3.1 bilioni kuwasha umeme vitongoji sita ukanda wa Ziwa Nyasa

Ludewa. Wakala wa Nishati Vijijini (Rea) imetoa Sh3.1 bilioni kutekeleza  mradi wa kusambaza umeme katika vitongoji sita vilivyopo ukanda wa Ziwa Nyasa, wilayani Ludewa mkoani Njombe. Mradi huo ulianza kutekelezwa Julai 13, mwaka 2025 na unatarajiwa kukamilika Aprili 13, 2026, ukilenga kuwapatia huduma ya umeme wateja wa awali takribani 160. Akizungumza katika ziara ya kutembelea…

Read More

Sababu Tanzania kuendelea kukumbwa na uhaba wa maji

Dar es Salaam. Wakati Tanzania ikiungana na mataifa mengine duniani kuadhimisha Siku ya Maji Duniani leo Machi 22, 2026, wadau wa maendeleo na mazingira wameainisha sababu kadhaa zinazoendelea kuchangia uhaba wa maji nchini, huku upotevu wake ukitajwa kuwa miongoni mwa changamoto kubwa. Mbali na upotevu huo, wadau wameeleza kuwa usambazaji duni wa maji, ukosefu wa…

Read More

WAJA ATOA SADAKA KWA MISIKITI 65 GEITA MJINI

Mbunge wa Jimbo la Geita Mjini, Chacha Wambura, ametoa tende kwa misikiti 65 iliyopo katika jimbo lake ikiwa ni sadaka kwa waumini wa dini ya Kiislamu wanaoendelea na mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadhani. Akizungumza wakati wa zoezi la kugawa tende hizo, Mbunge Wambura amesema amefanya hivyo kama sehemu ya sadaka yake kwa waumini wa…

Read More

KONA YA MSTAAFU: Wastaafu tujihadhari na mikopo ya kununua madeni yetu

Wiki za karibuni mstaafu wetu amekuwa akishangazwa na mfululizo wa matangazo kutoka hizi benki kadhaa za dotcom zikijinasibu kwamba zitakuwa zinawasaidia wastaafu ‘kwa kununua madeni ya mikopo yote tuliyojiingiza kwa shida zetu zisizoisha, halafu benki hizo zitatusaidia kwa kutukopesha mikopo mingine juu ya ile iliyo nunuliwa. Pole yetu. Iko hivi. benki zinazodai kuwa ziko karibu na…

Read More

CMSA:SERIKALI IMEPATA MAFANIKIO MAKUBWA MIFUKO YA UWEKEZAJI WA PAMOJA

-Katika kipindi cha mwaka 2025 imefikisha Sh.trilioni 4.4 kutoka Sh.trilioni 2.6  Na Mwandishi Wetu MAMLAKA ya Masoko ya Mitaji na Dhamana(CMSA) imesema Serikali imepata mafanikio makubwa kupitika mifuko ya uwekezaji ya pamoja ambapo katika kipindi cha mwaka 2025 imefikisha Sh. trilioni 4.4 ikilinganishwa na Sh.trilioni 2.6 ya mwaka 2024. Hayo yamebainishwa na Mkurugenzi wa Usimamizi…

Read More

Kocha Laizer aweka mikakati Fountain

BAADA ya mwenendo mbaya wa matokeo ya Ligi Kuu Bara hadi sasa, Kocha wa Fountain Gate, Mohamed Ismail ‘Laizer’ amesema kazi kubwa aliyonayo katika kikosi hicho ni kutengeneza saikolojia ya wachezaji ili wafanye vizuri kwa mechi zijazo. Akizungumza na Mwanaspoti, Laizer amesema wachezaji wa timu hiyo wanatengeneza nafasi nyingi za kufunga, ingawa suala nzima la…

Read More