Sheria mpya za soka 2026 kupiga vita kupoteza muda

MABADILIKO ya sheria za soka ambazo kimsingi zitaanza kufanya kazi wakati wa Kombe la Dunia 2026 kabla ya kuhamia karika ligi mbalimbali, yamemuibua mkufunzi wa waamuzi nchini, Soud Abdi ambaye pia aliwahi kuwa Mwenyekiti wa Kamati ya Waamuzi Tanzania, akisema yataondoa tabia ya janjajanja ya kupoteza muda ambayo imekuwa ikiharibu ladha ya mchezo. Akizungumza kuhusu…

Read More

Fahamu Madhara ya Vyakula Vitamu Kupita Kiasi kwa Afya ya Figo

Watu wengi huamini kuwa kula vyakula vyenye sukari nyingi kunaweza kusababisha unene, kisukari na hata matatizo ya figo. Kulingana na wataalamu wa afya, jambo hili lina ukweli kwa sababu matumizi makubwa ya sukari yanaweza kuathiri afya ya figo kwa njia mbalimbali. Sukari Nyingi Inavyoathiri MwiliLishe yenye sukari nyingi mara nyingi husababisha unene kupita kiasi na…

Read More

Beki Yanga ampa mtihani Camara, wakongwe watia neno

KIPA raia wa Guinea, Moussa Camara, anakabiliwa na mtihani mzito unaomuweka njiapanda ya kuendelea kuitumikia Simba ambapo hivi sasa ameondolewa kwenye mfumo wa usajili na mkataba wake unamalizika mwisho wa msimu huu. Kuondolewa kwa Camara katika mfumo wa usajili, kunatokana na majeraha ya goti aliyoyapata na kumuweka nje kwa muda mrefu hali iliyofanya dirisha dogo…

Read More

Mishtuko ya Mafuta, Misukosuko ya Kisiasa na Suluhu Moja Serikali Huendelea Kupuuza – Masuala ya Ulimwenguni

Credit: Marcelo Del Pozo/Reuters kupitia Gallo Images Maoni na Andrew Firmin (london) Jumatatu, Machi 16, 2026 Inter Press Service LONDON, Machi 16 (IPS) – Kwa mara nyingine tena, bei ya mafuta duniani inapanda, kutokana na vita vya Israel na Marekani dhidi ya Iran. Huku Iran ikilipiza kisasi kwa kushambulia miundombinu na vituo vya usafiri na…

Read More