Viongozi 70 CCM Moshi wasaini kumkataa kigogo mwenzao

Dar es Salaam. Msuguano ndani ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Wilaya ya Moshi Mjini, mkoani Kilimanjaro unaonekana kuingia katika hatua ngumu zaidi baada ya viongozi 70 kusaini barua ya kutokuwa na imani na kigogo wa chama hicho ngazi ya wilaya. Taarifa za uhakika zilizolifikia Mwananchi, zinaeleza miongoni mwa waliosaini barua hiyo iliyotumwa kwa Katibu wa…

Read More

Athari za watoto kuingia kwenye ajira hatarishi

Simiyu. Licha ya juhudi mbalimbali zinazofanywa na Serikali pamoja na wadau wa maendeleo kulinda haki za watoto, bado baadhi yao katika jamii wanaendelea kuingia kwenye ajira hatarishi. Wakizungumza leo Aprili 12, 2026 na Mwananchi digital wadau wa masuala ya watoto mkoani Simiyu wamesema kuwa katika baadhi ya maeneo ya vijijini na miji midogo, watoto wamekuwa…

Read More

Kipigo chamzindua Nsajigwa Prisons | Mwanaspoti

KIPIGO cha mabao 2-1 ilichokipata Tanzania Prisons dhidi ya Singida Black Stars juzi kwenye mechi ya Ligi Kuu Bara, kimemwibua kocha wa timu hiyo, Shadrack Nsajigwa ‘Fuso’, baada ya kukiri umakini ndiyo sababu ya kukosa ushindi. Mechi hiyo iliyopigwa Kwenye Uwanja wa Jamhuri, jijini, Dodoma, Prisons ilitangulia kupata bao la penalti dakika ya tatu, kupitia…

Read More

Kufadhili Uhifadhi wa Bioanuwai barani Afrika kwa Usaidizi wa Wafadhili Unaopungua – Masuala ya Ulimwenguni

Luther Bois Anukur, Mkurugenzi wa Kanda wa IUCN ESARO, alihojiwa katika Makao Makuu ya Kanda ya IUCN jijini Nairobi, Kenya. Credit: Isaiah Esipisu/IP na Isaya Esipisu (nairobi) Jumanne, Machi 03, 2026 Inter Press Service NAIROBI, Machi 3 (IPS) – Wakati jumuiya ya kimataifa ikiadhimisha Siku ya Wanyamapori Duniani 2026 leo (Machi 3), lengo la mwaka…

Read More