JIONI YA BARAKA FAMILIA YA OYA YASHIRIKI IFTAR NA JAMII

Taasisi ya Oya Micro-crediti imeandaa futari maalum kwa wateja wake na jamii kwa ujumla tukio lililolenga kuimarisha mshikamano wa kijamii. Mwezi Mtukufu wa Ramadhan ni wakati wa kutafakari, kushukuru, na kushirikiana na jamii katika kujitoa kwenye mambo mablimbali. Kwetu OYA, tunaamini kuwa mafanikio ya kweli hayapimwi tu kwa ukuaji wa biashara, bali pia kwa mchango…

Read More

Wasomali wa Kenya Wanajitahidi Kurudisha Uraia kutoka kwa Rekodi za Wakimbizi – Masuala ya Ulimwenguni

Wakenya wa kabila la Somalia walioingia kwenye kambi za wakimbizi wamekuwa wakihangaika kupata hati za vitambulisho vya kitaifa. Credit: Jackson Okata/IPS na Jackson Okata (garissa, kenya) Jumatano, Aprili 08, 2026 Inter Press Service GARISSA, Kenya, Aprili 8 (IPS) – Mwaka 2006, Amina Saida alikuwa na umri wa miaka miwili pekee wakati wazazi wake walipohamia kambi…

Read More

Siku ya Kimataifa ya Wanawake 2026 – Upinzani Kuliko Msukosuko – Masuala ya Ulimwenguni

Credit: Marco Longari/AFP Maoni na Inés M. Pousadela (montevideo, urugwai) Jumatatu, Machi 09, 2026 Inter Press Service MONTEVIDEO, Uruguay, Machi 9 (IPS) – Fikiria jinsi Siku ya Kimataifa ya Wanawake ilivyokuwa miaka michache iliyopita, na jinsi inavyoonekana sasa: tarehe hiyo hiyo, wakati uleule wa kimataifa wa kutafakari, lakini mandhari ya kimataifa iliyobadilika sana. Haki za…

Read More

Haya ndio madhara ya kukacha mikutano ya shule

Dar es Salaam. Wazazi waliobahatika kuuanza mwaka 2026 wakiwa na watoto katika hatua mbalimbali za masomo, mnapaswa kutambua kuwa huu ni mwaka wa mabadiliko chanya katika ushiriki wenu, hususan katika masuala yanayohusu elimu ya watoto wenu. Ni mwaka unaopaswa kuwa wa kujitathmini na kubadili mtazamo kuhusu wajibu wa mzazi katika safari ya elimu ya mtoto….

Read More

Kuvimba kwa lami, mikunjo barabara ya Mandela yaleta hofu, wataalamu waonya

Dar es Salaam. Magari ya mizigo, mabasi ya abiria, daladala na magari binafsi yanaendelea kupishana kwa kasi katika Barabara ya Mandela, mojawapo ya barabara muhimu inayounganisha maeneo mbalimbali ya jiji ikitokea bandarini. Lakini, kadiri magari yanavyokaribia kipande kabla ya kuzifikia taa za barabarani zilizo chini ya daraja la Mfugale lililopo eneo la Tazara inawalazimu madereva…

Read More

Simama katika zamu yako   | Mwananchi

Tumsifu Yesu Kristo. Nakusalimu kwa jina la Bwana wetu Yesu Kristo aliye hai. Ni matumaini yangu kuwa, kwa neema ya Mungu, unaendelea vizuri. Ninamshukuru Mungu kwa kunipa kibali cha kusema na wewe siku ya leo, ikiwa ni Siku ya Wanawake Duniani. Maadhimisho ya mwaka jana, kupitia ukurasa huu, nilipata pia kibali cha kukukumbusha juu ya…

Read More

Mlinzi aeleza jinsi mshtakiwa alivyoiba Vodka, klabu ya The Voice, kuzificha kwenye fulana

Dar es Salaam. Mlinzi Klabu ya The Voice Tz Limited, iliyopo Tabata Kinyerezi, jijini Dar es Salaam,  Masoud Hassan, ameieleza Mahakama jinsi mshtakiwa Tumaini Moshi, alivyoficha vinywaji katika fulana yake ya bluu aliyoivaa, walipovamia katika klabu hiyo na kufanya vurugu akiwa na wenzake, Oktoba 29, 2025 Hassan ametoa ushahidi wake leo Jumatano, Februari 25, 2026…

Read More