Polisi Kilimanjaro yamtia mbaroni mtuhumiwa mauaji ya mfanyabiashara Hai
Moshi. Jeshi la Polisi Mkoa wa Kilimanjaro linamshikilia mkazi wa Kijiji cha Kimira, Kata ya Romu, Wilaya ya Hai, Juma Kimaro (36), kwa tuhuma za kumuua mfanyabiashara Sakina Paulo Tarimo (68). Inadaiwa mtuhumiwa huyo alikuwa akimtuhumu marehemu kujihusisha na imani za kishirikina, akidai kuwa alikuwa akiwaloga watoto wake. Akithibitisha kukamatwa kwa mtuhumiwa huyo leo, Machi…