Mtazamo kuhusu fedha unavyoathiri maisha
Katika maisha ya kila siku, watu hupata mafundisho tofauti kuhusu fedha kulingana na mazingira wanayokulia. Wengine hufundishwa kusoma kwa bidii, kupata ajira nzuri na kutegemea mshahara na wengine hufundishwa kutafuta fursa za biashara na uwekezaji. Mitazamo hii miwili inaweza kuathiri sana maisha ya kifedha ya mtu, hata katika mazingira ya Tanzania, tunaweza kuona tofauti hii…