Mwigulu Awapongeza Watumishi wa Afya Katavi kwa Huduma Bora
Global Publishers March 16, 2026 0 Comments WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba amesema mradi wa ujenzi wa jengo la huduma (Wing B) katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Katavi lazima ukamilike kwa wakati na kwa ubora unaotakiwa. Akizungumza leo Jumatatu 16 Machi, 2026 baada ya kukagua maendeleo ya ujenzi wa jengo hilo katika hospitali…