Simba, Yanga zapigana vikumbo saini ya Fofana

YANGA jana usiku ilikuwa Uwanja wa Benjamin Mkapa ikipambana kwenye Dar es Salaam Dabi dhidi ya wenyeji wa Azam FC lakini kuna vurugu mabosi wao wameifanya nchini Ivory Coast itakayomfanya mtani wake Simba kujipanga sawasawa kivita. Mabosi wa Yanga wamevamia pale ASEC na wamepima maji na kuona yule mshambuliaji Souleyman Fofana anawafaa kwa matumizi ya…

Read More

Ukimya wa Inter Milan Wazaa Matokeo Makubwa Serie A

Vinara wa SERIE A, Inter Milan wameendelea kuwa na wakati mzuri baada ya kuendelea kufanya vizuri kwenye mashindano hasa ya ndani. Bashiri mechi zote za Inter na Meridianbet leo. Kulikuwa na kitu tofauti kidogo kuhusu Inter msimu huu. Si kelele nyingi, si presha za nje  bali ukimya wa timu inayojitafuta upya. Kuanzia raundi za mwanzo…

Read More

Simba, Yanga zarudishwa tena Zanzibar, kukichafua Aprili 21

ZIKIWA zimepita siku chache baada ya Yanga na Simba kutoka kucheza mechi ya Ligi Kuu Bara iliyomalizika bila kufungana kwenye Uwanja wa New Amaan Complex, Zanzibar, timu hizo zimetajwa kati ya nane zinazotarajiwa kushiriki michuano ya Kombe la Muungano 2026. Kwa kutajwa huko, timu hizo zinatarajiwa kurejea tena Zanzibar kusaka heshima baada ya kushindwa kutambiana…

Read More

Kuanguka kwa Haiti kunadai hatua za haraka za kimataifa huku mamilioni ya watu wakikabiliwa na njaa na vurugu – Masuala ya Ulimwenguni

Edem Wosurnu wa ofisi ya Umoja wa Mataifa ya masuala ya kibinadamu, OCHAaliwafahamisha waandishi wa habari kuhusu misheni yake ya hivi majuzi katika taifa la visiwa vya Karibea ambako magenge yenye silaha yenye jeuri yanasalia kutawala maeneo makubwa ya eneo hilo. Mgogoro unaozidi kuwa mbaya unaangaziwa na kuongezeka kwa ukosefu wa usalama, kuongezeka kwa mahitaji…

Read More

BALOZI LUVANDA AITAKA NCMC KUYAFIKIA MASOKO YA KIMATAIFA

Naibu Katibu Mkuu (Mazingira) Ofisi ya Makamu wa Rais, Mhe. Balozi Baraka Luvanda amekitaka Kituo cha Taifa cha Kufuatilia Kaboni (NCMC) kuimarisha na kupanua wigo wa ushiriki wa Tanzania katika masoko ya kimataifa ya kaboni. Amesema ushiriki huo upewe msukumo kupitia uhifadhi ya mazingira na miradi ya kaboni katika sekta zote za Uchumi wa buluu,…

Read More

Wawili wakamatwa, 87 waokolewa kwenye mtego wa utajiri Tanga

Tanga. Jeshi la Polisi Mkoa wa Tanga limewakamata watu wawili wanaodaiwa kuhusika na mtandao wa utapeli wa mtandaoni uliowalaghai vijana 87 kwa ahadi za kupata utajiri wa haraka kupitia kampuni isiyo halali. Taarifa hiyo imetolewa jana Aprili 5,2026 na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tanga, Almachius Mchunguzi, ambapo amewataja waliokamatwa ni Mohammed Idrisa (24), mkazi…

Read More

Kocha Yanga aibuka na matatu hesabu za ubingwa Bara

YANGA ina hesabu zake za kuwania ubingwa wa Ligi Kuu Bara kwa msimu wa tano mfululizo, lakini katika hilo, inakumbana na vikwazo mbalimbali ikiwemo majeraha ya nyota wake wa kikosi cha kwanza na baadhi wameanza kurudi akiwemo Ibrahim Bacca, lakini itaendelea kuwakosa Clement Mzize na Dickson Job hadi mwisho wa msimu. Kabla ya mambo hayajaharibika…

Read More