Chaumma yaingia TCD na matarajio makubwa

Dar es Salaam. Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma) kimedhamiria kutumia uanachama wake wa Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD) katika kukuza demokrasia nchini. Hayo yamebainishwa  Machi 13, 2025 jijini Dar es Salaam na Katibu Mkuu wa Chaumma, Salum Mwalimu wakati wa Iftar iliyoandaliwa na TCD, ikiwashirikisha wadau tofauti wa demokrasia vikiwamo vyama vya siasa. Akizungumza…

Read More

Mjadala wa ubora wa wahitimu wawekwa mezani

Dar es Salaam. Wakati mjadala kuhusu ubora wa wahitimu wanaozalishwa na vyuo vikuu nchini ukiendelea kushika kasi, Serikali imeitaka Bodi mpya ya Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU) kuimarisha usimamizi na mifumo ya uthibiti wa ubora wa elimu ya juu ili kuendana na mahitaji ya soko la ajira. Kauli hiyo imetolewa leo Machi 6, 2026,…

Read More

SERIKALI YATANGAZA MPANGO WA KUONGEZA NDEGE NANE KWA ATCL KUIMARISHA USAFIRI WA ANGA KUCHOCHEA UCHUMI WA TAIFA

SERIKALI imetangaza mpango wa kuongeza ndege nane kwa Shirika la Ndege Tanzania (ATCL), hatua itakayofikisha jumla ya ndege 24 ifikapo mwaka 2030, ikiwa ni sehemu ya juhudi za kuimarisha usafiri wa anga na kuchochea ukuaji wa uchumi wa Taifa. Taarifa hiyo imetolewa na Naibu Waziri wa Uchukuzi, David Kihenzile, kwa niaba ya Waziri wa Uchukuzi,…

Read More

IPTL YAPATA USHINDI: MWENYEKITI ASAFISHWA NA POLISI

  JESHI la Polisi Tanzania limetoa cheti cha kumsafisha Mwenyekiti wa Kampuni ya Independent Power Tanzania Limited (IPTL), Harbinder Singh Sethi dhidi ya uhalifu katika kumbukumbu zao. Cheti cha Kibali cha Polisi chenye kumbukumbu namba FB/FP/G.4/2026/VOL.III/49198, kimetolewa na Ofisi ya  Uchunguzi wa alama za vidole na Jeshi la Polisi  jijini Dar es Salaam. Cheti hicho…

Read More

Beti Mechi za EUROPA na Odds Tamu za Meridianbet

Je unajua kuwa Meridianbet ndio wakali wa Odds Tanzania?. Yaani namaanisha kuwa ukitaka Odds kubwa na za kibabe wewe njoo hapa na ubashiri leo. Lakini pia unaweza ukaibuka bingwa kwani machaguo ni mengi hapa. Fenerbahce atamualika kwake Nottingham Forest kutoka kule Uingereza na takwimu zinaonesha kuwa hawa wawili hawajawahi kukutana hivyo hii ndio mara yao…

Read More

UWT KATA YA KANGARAWE WATOA MSAADA KWA WATOTO WENYE UHITAJI

Diwani wa Kata ya Makangarawe Fadhili Mboga akizungumza katika hafla ya utoaji wa msaada wa vitu mbalimbali kwa watoto wenye uhitaji kwenye shule ya msingi Yombo Dovya Manispaa ya Temeke jijini Dar es salaam  leo tar 6/3/2026 Diwani wa Viti Maalum, Farida Saumu Mkwanywe akizungumza katika hafla ya utoaji wa msaada wa vitu mbalimbali kwa watoto wenye…

Read More

Polisi Dar Wakamata Wawili Kwa Mauaji ya Athumani Nyanza

Global Publishers March 20, 2026 0 Comments Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Jumanne Muliro, amesema jeshi la polisi limefanikiwa kuwakamata watu wawili akiwemo Rehema Maulidi (42), kwa tuhuma za kuhusika na mauaji ya Athumani Nyanza. Akizungumza na vyombo vya habari, Kamanda Muliro alisema kuwa mtuhumiwa huyo pamoja na mwenzake mmoja ambaye…

Read More

Sh800 bilioni zitakavyomaliza tatizo la umeme Zanzibar

Unguja. Huenda mwarobaini wa kata, washa ya umeme, ikapatikana baada ya Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) kuwekeza Sh800 bilioni katika miundombinu hiyo. Zanzibar inapokea umeme kupitia waya za baharini kutoka Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco). Kwa upande wa Unguja, zipo waya mbili, moja ya megawati 45 iliyowekwa mwaka 1980 na imeshatumika hadi kufikia asilimia…

Read More