‘Endelezeni mema baada ya Ramadhan’

Pemba. Waumini wa dini ya Kiislamu wamehimizwa kuendeleza amali njema walizokuwa wakizifanya katika mwezi mtukufu wa Ramadhan ili kustahili malipo mema Akhera. Wito huo umetolewa na Sheikh Hamad Khamis mara baada ya kumalizika kwa swala ya Idd El-Fitr iliyoswaliwa katika Msikiti wa Ijumaa Sizini, Wilaya ya Micheweni, Mkoa wa Kaskazini Pemba. Akizungumza na waumini hao,…

Read More

Chaumma yaingia TCD na matarajio makubwa

Dar es Salaam. Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma) kimedhamiria kutumia uanachama wake wa Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD) katika kukuza demokrasia nchini. Hayo yamebainishwa  Machi 13, 2025 jijini Dar es Salaam na Katibu Mkuu wa Chaumma, Salum Mwalimu wakati wa Iftar iliyoandaliwa na TCD, ikiwashirikisha wadau tofauti wa demokrasia vikiwamo vyama vya siasa. Akizungumza…

Read More

Waziri Mkuu Azindua Stendi ya Mabasi ya Dkt. Samia Hanang

WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba amezindua Stendi ya Mabasi ya Dkt. Samia Suluhu Hassan iliyopo Katesh, wilayani Hanang, mkoani Manyara ambayo imejengwa kwa gharama ya sh. bilioni 5.69. Stendi hiyo ambayo ujenzi wake umekamilika na imeanza kutumika, imelenga kuboresha utoaji huduma za usafiri na usafirishaji. Miundombinu iliyopo ni pamoja na jengo kuu la kituo cha…

Read More

Meridianbet Na Burudani Mpya ya Kidijitali Kupitia Aspect Gaming & Superspade Games

KATIKA ulimwengu ambao teknolojia inaamua mwelekeo wa burudani, Meridianbet imeendelea kuonesha kwa vitendo kuwa iko hatua moja mbele ya ushindani. Kupitia mkakati wake wa kushirikiana na wabunifu wakubwa wa michezo duniani, Meridianbet inaleta mapinduzi katika sekta ya kasino mtandaoni kwa kuwapa wachezaji uzoefu wa kisasa, salama na wenye msisimko wa hali ya juu. Kupitia ushirikiano…

Read More

Rais Samia atoa Bilioni 15 Maboresho Shule ya Polisi Kilimanjaro

Na Mwandishi Wetu,Kilimanjaro Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dkt.Samia Suluhu Hassan ametoa  Shilingi Bilioni 25 ikiwa ni utekelezaji wa ahadi aliyoitoa wakati wa Kikao cha Maafisa Wakuu Waandamizi wa Jeshi la Polisi kilichofanyika mwaka 2024 lengo ikiwa kuifanyia maboresho Shule cha Polisi Kilimanjaro ambacho kinakabiliwa na uchakavu wa Majengo ambayo yalijengwa tangu  mwaka 1933…

Read More