Haya hapa maeneo muhimu kukuza sekta ya fedha

Dar es Salaam. Serikali imeainisha maeneo nane ya kipaumbele ndani ya sekta ya fedha ambayo yakitumika ipasavyo kwa ushirikiano na sekta binafsi yanaweza kuharakisha ukuaji wa uchumi. Maeneo hayo ni pamoja na ufadhili wa tabianchi, mabadiliko ya tabianchi, huduma za kifedha za Kiislamu, udhibiti wa mali za kidijitali, upatikanaji wa mitaji kwa biashara changa na…

Read More

TCB YAZINDUA KAMPENI YA KUCHOCHEA UCHUMI NA KUWEZESHA NDOTO ZA WATANZANIA

 ******* Benki ya Biashara Tanzania (TCB) imezindua kampeni maalum yenye lengo la kuimarisha ujumuishwaji wa kifedha na kuchochea ukuaji wa uchumi kwa kuwawezesha Watanzania kupata suluhisho sahihi za kifedha.  Hatua hiyo inalenga kuongeza upatikanaji wa huduma za kifedha kwa makundi mbalimbali, hususan wajasiriamali na biashara ndogo na za kati, ili kuchangia ukuaji wa kipato na…

Read More

Kesi ya ‘Dk Manguruwe’ Shahidi aeleza alivyotapeliwa milioni 1.5 kilimo cha soya

Dar es Salaam. Shahidi wa 20 wa upande wa Jamhuri katika kesi ya kuendesha biashara ya upatu inayomkabili Mkurugenzi wa Vanilla International Ltd, Simon Mkondya, maarufu Dk Manguruwe, ameieleza Mahakama jinsi alivyotapeliwa Sh1.5 milioni kupitia kilimo cha soya. Shahidi huyo, David Mabwira, alidai alipoteza fedha hizo baada ya kuwekeza katika zao la soya lakini hakuwahi…

Read More

Benki ya NBC Yakabidhi Gari kwa Mshindi wa Kampeni ya Huduma za Kidigitali, Yaendeleza Juhudi za Kukuza Ujumuishaji wa Kifedha

Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) imekabidhi zawadi kuu za kampeni yake ya “Ukigusa Tu, iMOOO” kwa washindi wakubwa watatu wa kampeni hiyo ikiwemo zawadi kubwa ya gari aina Nissan X trail iliyokabidhiwa kwa Bw Salah Ahmed Mohamed mkazi wa jijini Dar es Salaam alieibuka mshindi wa zawadi kuu ya kampeni iliyolenga kukuza ujumuishaji wa…

Read More

MPANDA- KIGOMA KUUNGANISHWA KWA LAMI

****** Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba amesema Serikali imedhamiria kuufungua mkoa wa Katavi kwa barabara za lami ili kuchochea uchumi wa mikoa ya kanda ya magharibi. Akizungumza na wananchi wa Wilaya ya Mlele mkoani Katavi Dkt. Nchemba amesema nia ni kurahisisha huduma za usafiri na uchukuzi ili kukuza uchumi wa wananchi katika mwambao wa ziwa…

Read More

Ushindi wa Takaichi Unasemaje Kuhusu Siasa za Vijana katika Enzi ya Dijitali – Masuala ya Ulimwenguni

Picha: Hiroshi-Mori-Stock / shutterstock.com na 内閣広報室 / Ofisi ya Masuala ya Umma ya Baraza la Mawaziri / Wiki Commons Maoni by Ria Shibata Jumanne, Machi 03, 2026 Inter Press Service Ushindi wa Sanae Takaichi katika uchaguzi wa Februari unaashiria mabadiliko ya kihistoria katika siasa za Japan. Akiwa waziri mkuu wa kwanza mwanamke wa Japani na…

Read More