Furahia ndoa duniani kabla ya mbinguni

Dar es Salaam. Katika jamii nyingi, ndoa imekuwa ikizungumziwa zaidi kama jukumu kuliko baraka, kama mzigo kuliko safari ya furaha. Watu wengi huingia kwenye ndoa wakiwa na matarajio ya kiroho zaidi ya kibinadamu. Wengi husema: “tutavumilia kwa ajili ya mbinguni, huku duniani ni mateso tu,” au “furaha ya kweli ipo baada ya maisha haya.” Mtazamo…

Read More

WANANCHI WA MOHORO WAMSHUKURU RAIS SAMIA

-Mhe. Mchengerwa afuturisha, Mohoro, Chumbi,Mbwala na Shela -Maelfu ya wananchi washiriki futari, wamsifu Mchengerwa Na Yohana Kidaga- Mohoro Wananchi wa kata nne za Muhoro, Chumbi, Mbwala na Shela katika wilayani Rufiji wamemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuendelea kutoa fedha katika miradi mbalimbali ya maendeleo katika Wilaya…

Read More

Kichapo cha KMKM chaizidishia presha Mafunzo ZPL

MAFUNZO imeendelea kuwa na wakati mgumu katika msimamo wa Ligi Kuu Zanzibar baada ya kukubali kichapo cha bao 1-0 kutoka kwa KMKM. Katika mechi hiyo ya mzunguko wa 22 iliyochezwa Aprili 10, 2026 kwenye Uwanja wa Mao A kisiwani Unguja, timu hizo ziliingia uwanjani zikitofautiana pointi mbili huku ushindi wa KMKM ukiifanya kufikisha pointi 32…

Read More

UN Yazindua Rufaa ya Kibinadamu ya Dola Milioni 300 kwa Lebanon – Masuala ya Ulimwenguni

Mnamo tarehe 5 Machi, maelfu ya watu, wakiwemo watoto wengi, walikimbia makazi yao kusini na vitongoji vya kusini mwa Beirut, huku wengi wakikusanyika mitaani au kujaribu kufikia maeneo salama. Watoto ni miongoni mwa walioathirika zaidi huku familia zikikabiliwa na kuhamishwa, kutokuwa na uhakika na ufikiaji mdogo wa huduma muhimu. Credit: UNICEF Lebanon na Naureen Hossain…

Read More

Rais Trump Ahudhuria Kuagwa kwa Wanajeshi 6 Waliouawa Mashariki ya Kati – (Picha +Video)

Global Publishers March 8, 2026 0 Comments Rais wa Marekani, Donald Trump, amehudhuria hafla maalum ya kuwaenzi wanajeshi sita wa Marekani waliopoteza maisha yao kufuatia shambulio lililohusishwa na Iran katika kambi ya kijeshi nchini Kuwait. Hafla hiyo iliwakutanisha viongozi wa juu wa kijeshi, familia za wanajeshi waliouawa pamoja na maafisa wa serikali ya Marekani, ambapo…

Read More

WANAWAKE WAHAMASISHWA KUJITHAMINI NA KUJISHUGHULISHA NA SHUGHULI ZA MAENDELEO

Mwenyekiti wa Chama cha Umoja wa Mwanamke wa Thamani, Hajira Bitebo, amewahimiza wanawake kujishughulisha na shughuli za maendeleo na kufanya kazi kwa bidii badala ya kubweteka kukaa nyumbani bila kujituma. Bitebo amesema mwanamke anapofanya kazi na kujitegemea kiuchumi huweza kusaidia familia na kuchangia maendeleo ya jamii kwa ujumla. Kwa upande wake, Katibu wa chama hicho,…

Read More

Museveni achaguliwa mwenyekiti mpya EAC

Arusha. Rais wa Uganda Yoweri Museveni amechaguliwa kuwa mwenyekiti mpya wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) kwa kipindi cha kuanzia Machi 2026 hadi 2028, akichukua mikoba kwa Rais wa Kenya William Ruto aliyemali muda wake. Museveni amechaguliwa leo Jumamosi, Machi 7, 2026 katika Mkutano wa kawaida wa 25 wa wakuu wa nchi wa EAC unaofanyika katika…

Read More

WANAWAKE MKOANI IRINGA WAASWA KUACHANA NA MIKOPO YA SHIKILIA DERA

Na Rose Ngunangwa, Iringa Wanawake Mkoani Iringa wameaswa kuachana na mikopo almarufu kama Shikilia Dera au Ndala mkononi kwani mikopo hiyo imekuwa ikisababisha mali za familia kuuzwa au kutaifishwa ili kufidia na kuiacha familia ikiingia kwenye lindi la umaskini. Mikopo hiyo imepewa jina la shikilia dera au kandamili mkononi kutokana na wanawake wanaochukua kulazimika kushikilia…

Read More