Ukiona dalili hizi, jua ushachokwa
Dar es Salaam. Uhusiano kati ya mwanaume na mwanamke huwa na hatua mbalimbali, ikiwamo kipindi ambacho hisia za mapenzi hupungua au kuisha. Mara nyingi, dalili za mabadiliko haya hutofautiana kati ya mwanaume na mwanamke. Kutozitambua dalili hizi kunaweza kumfanya mmoja kuendelea kung’ang’ania uhusiano akidhani bado upo imara, ilhali tayari umeanza kudhoofika. Kadiri mtu anavyochelewa kugundua…