Sintofahamu majumba Kikwajuni ilivyomalizwa | Mwananchi

Unguja. Hatimaye sintofahamu kati ya Serikali na wananchi wa nyumba za Kikwajuni imefikia tamati baada ya pande zote kukubaliana kupisha eneo hilo kwa ajili ya ujenzi wa mradi wa nyumba za kisasa. Februari 4, 2026, Mwananchi liliripoti mvutano huo uliotokana na hofu ya wananchi kuondolewa bila uhakika wa kurejea baada ya mradi kukamilika….

Read More

Huu hapa mfupa wa Pedro Yanga

YANGA ina mechi ya nne mfululizo ugenini leo ikiwa mgeni wa Mtibwa Sugar kwenye Uwanja wa Jamhuri, jijini, Dodoma, ikiuanza mzunguko wa pili, lakini kuna tahadhari itatakiwa kuichukua kama inautaka ubingwa ikikaribia kuvunja rekodi yake ya msimu uliopita. Yanga leo itakuwa inaanza mzunguko wa pili ambapo takwimu zinaonyesha timu hiyo imeshaangusha pointi nane ndani ya…

Read More

TMA yatoa tahadhari ya mvua kubwa, mafuriko

Dar es Salaam. Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imeonya kuwa mvua kubwa zinazoendelea kunyesha katika baadhi ya maeneo ya nchi zinaweza kusababisha mafuriko, kuharibu miundombinu na kuathiri shughuli za uvuvi katika maeneo ya pwani. Taarifa iliyotolewa na TMA imetaja maeneo yanayotarajiwa kuathirika ni pamoja na mikoa ya Lindi, Mtwara, Pwani pamoja na visiwa…

Read More

Rais wa zamani wa Ufilipino akabidhiwa ICC

Ndege iliyokuwa inambeba Duterte iliondoka Manila Jumanne jioni. Alikamatwa baada ya kuwasili na familia yake kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa wa Manila Jumanne asubuhi akitokea Hong Kong, chini ya hati ya kumkamata ya ICC. Mahakama hiyo ya kimataifa iliamuru akamatwe baada ya kumshtumu kwa uhalifu dhidi ya ubinadamu kutokana na sera yake mbaya ya…

Read More

Marekani Yaipa Iran Saa 48 Kufungua Strait of Hormuz

Global Publishers March 22, 2026 0 Comments Rais wa Marekani, Donald J. Trump, ametuma ujumbe mkali akiilenga Iran kuhusu hali ya usalama katika eneo la Strait of Hormuz. Kupitia ujumbe uliosambaa mtandaoni, Trump ameonya kuwa Iran inapaswa kufungua njia hiyo muhimu ya kimataifa bila vitisho ndani ya muda maalum wa saa 48, akisisitiza kuwa hatua…

Read More