Ushiriki wa wanawake siasa na uongozi waongezeka Zanzibar

Unguja. Licha ya wanawake kukumbana na changamoto kwa muda mrefu, imeelezwa kuwa mwanga na matumaini yameanza kuonekana kufuatia kuongezeka kwa uelewa, ujasiri na ushiriki wao katika siasa na uongozi. Hayo yamebainika Machi 24, 2026 katika maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani yaliyowakutanisha wadau mbalimbali Zanzibar. Mkurugenzi wa Chama cha Waandishi Wanawake (Tamwa ZNZ), Nairat Abdulla…

Read More

Singano aendeleza historia Mexico | Mwanaspoti

BEKI wa Tanzania, Julietha Singano ameandika rekodi ya kuwa miongoni mwa wachezaji waliocheza mechi nyingi katika kikosi cha FC Juarez Femenil kinachoshiriki ligi ya wanawake ya Mexico. Singano ambaye ni beki tegemeo wa timu hiyo, ameonyesha uimara mkubwa tangu alipojiunga na klabu hiyo, akifanikiwa kucheza jumla ya mechi 103 katika ligi. Katika kipindi hicho, beki…

Read More

Sportpesa Yawataka Wanamichezo Kushiriki Mchezo wa Kubahatisha

Hamza Athman, aliyejinyakulia kitita cha TZS 237,897,560 kwenye Midweek Jackpot. Na Neema Adrian Gpl Kampuni ya michezo ya kubahatisha ya Tanzania imewaomba wapenzi wamichezo hiyo kushiriki mchezo wa kubahatisha kwani inaendelea kubadilisha maisha kupitia Jackpot, Kasino na Aviator. Kampuni hiyo imesema wapenzi wa michezo ya kubahatisha nchini Tanzania, SportPesa Tanzania ni zaidi ya jukwaa la…

Read More

CCM YATOA SALAMU ZA RAMBIRAMBI KWA ASKOFU MKUU RUWA’ICHI KUFUATIA KIFO CHA KADINALI PENGO

Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimetoa salamu za rambirambi kwa Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, Mhashamu Jude Thaddeus Ruwa’ichi OFMCap, kufuatia kifo cha Askofu Mkuu mstaafu wa Jimbo hilo, Mwadhama Polycarp Kadinali Pengo, aliyefariki dunia Februari 19, 2026, katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) alipokuwa akipatiwa matibabu. Akizungumza Februari…

Read More

Aliyekataa penalti ya Yanga vs Azam, Singida BS vs Simba wafungiwa

WAAMUZI Hussein Katanga kutoka Tabora na Ally Mnyupe wa Morogoro, wamekumbana na adhabu za kufungiwa kutokana na makosa yaliyotokea kwenye michezo waliyochezesha. Waamuzi hao wawili wamefungiwa kwa mizunguko mitatu kufuatia Kamati ya Usimamizi wa Ligi kuwakuta na hatia kutokana na kushindwa kufanya uamuzi sahihi kwenye matukio mawili tofauti yanahohusisha penalti, yaliyotokea kwenye michezo miwili tofauti….

Read More