Maandalizi ya sikukuu yapamba moto, bei za bidhaa zachangamka

Dar/Mikoani. Zikiwa zimebaki siku kadhaa kabla za sikukuu ya Eid al-Fitr na Pasaka, hekaheka za maandalizi zimeanza kuonekana wazi katika maeneo mbalimbali nchini ikiwemo soko maarufu la Kariakoo jijini Dar es Salaam, ambapo mamia ya watu wameanza kumiminika madukani kununua mahitaji ya sikukuu, hususan nguo na viatu kwa ajili ya watoto na familia zao. Wazazi…

Read More

Marekani, Iran zakubaliana kusitisha mapigano

Dar es Salaam. Kitendo cha Marekani na Iran kukubaliana kusitisha mapigano kwa muda wa wiki mbili kimeibua matumaini mapya, kikichochea kushuka kwa bei za mafuta duniani na kupunguza mvutano uliokuwa ukitishia kuzua vita kubwa Mashariki ya Kati. Makubaliano hayo yaliyofikiwa Jumanne jioni yanajumuisha kufunguliwa kwa muda kwa njia muhimu ya usafirishaji wa nishati duniani, mlango…

Read More

Fountain, Namungo Ligi Kuu ya NBC, mechi ya mipango

WAKATI leo Alhamisi Fountain Gate na Namungo zikiwa viwanja tofauti kusaka pointi Ligi Kuu Bara, unaweza kusema  hali ni tete kwa timu hizo ndani ya raundi tano zilizopita sawa na dakika 450 zimeshindwa kuibuka na ushindi. Katika mechi tano zilizopita, Yanga ndiyo iliyokusanya pointi nyingi zaidi ambazo ni 15 (kabla ya mechi ya jana) dhidi…

Read More