Simba mambo magumu, Dabi ya Mzizima ikiisha bila mbabe

Katika Uwanja wa Azam Complex, Chamazi jijini Dar es Salaam ndiko ulikopigwa mchezo wa dabi ya Mzizima iliozikutanisha Azam FC na Simba katika kampeni ya kusaka taji la Ubingwa wa Ligi Kuu Bara. Katika mtanange huo mkali, ulianza kwa kasi sana timu zote zikishambuliana kabla ya Azam kuutawala mchezo zaidi katika kipindi hicho. Matajiri hao…

Read More

TPA yasimamisha ada mpya za uendelezaji hadi Julai 1

Dar es Salaam. Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) imetangaza kusitisha matumizi ya ada ya uendelezaji wa miundombinu ya bandari (PID) iliyoanza utekelezaji Machi 8, 2026 na itaaanza tena kutumika Julai Mosi, 2026. Kusitishwa kwa utozaji ada hiyo kumetokana na maombi kutoka kwa wadau mbalimbali wa bandari walioomba kupatiwa muda zaidi kabla ya kuanza…

Read More

Bodi ya Ligi Zanzibar yachukua hatua vipigo vya waamuzi

KATIKA Ligi Kuu ya Zanzibar (ZPL), bado waamuzi wameendelea kuteseka kwa kuchezea vipigo kutoka kwa mashabiki, viongozi na hata wachezaji. Hata hivyo, Bodi ya Ligi Zanzibar, imeendelea kuchukua hatua mbalimbali ikiwemo kuwafungia mashabiki na viongozi wa  timu kushiriki katika mashindano yoyote yanayoandaliwa na Shirikisho la Mpira wa Miguu (ZFF). Licha ya adhabu hizo, lakini sio…

Read More

Meneja Singida BS atuma salamu Yanga

MENEJA Mkuu wa Singida Black Stars, Othmen Najjar amesema kikosi kipo tayari kwa mtihani wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Yanga itakayochezwa Alhamisi hii Machi 5, 2026, akiweka wazi maandalizi yao yamejikita zaidi katika umakini, nidhamu na matumizi sahihi ya nafasi. Najjar amekiri wazi kwamba, takwimu haziko upande wao, akieleza kuwa Yanga imeshinda mechi sita…

Read More

STARTIMES WAMESHUSHA TENA BURUDANI KWA WATEJA WAO.

KUELEKEA Msimu wa Sikukuu za Eid na pasaka Kampuni ya Startimes imezindua rasmi Kampeni ya “Lipa tukubusti” itakayodumu mwezi mmoja tu ili kuwaweka karibu watazamaji wake kiburudani na kimichezo 100% kipindi hiki cha Sikukuu. Akizungumza na Wanahabari Jijini Dar es Salaam, Meneja Masoko wa Kampuni ya Startimes David Malisa amesema msimu huu wa Sikukuu familia…

Read More

Ushindi Wako Unaanzia Meridianbet Leo kwa Early Payout

Je unajua kuwa leo hii unaweza kutengeneza pesa na Meridianbet haraka sana kupitia chaguo la EARLY PAYOUT. Chagua mechi zako sasa na ubashiri ndani ya Meridianbet. Meridianbet, inaendelea kutoa huduma mpya ya Early Payout, inayolenga kuboresha uzoefu wa wateja wake na kuhakikisha ushindi unapatikana haraka zaidi. Huduma hii ni suluhisho la kipekee kwa wapenzi wa…

Read More