Shauri la Kikatiba lililofunguliwa na TLS latupwa

Dar es Salaam. Dosari za kisheria katika hati ya kiapo cha rais wa chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Boniface Mwabukusi, kimesababisha shauri la kikatiba lililofunguliwa dhidi ya Inspekta Jenerali wa Polisi (IGP), kutupwa na mahakama. Uamuzi wa kutupa shauri hilo baada ya kubainika dosari hizo, umetolewa jana Jumatano, Machi 11, 2026 na jopo la majaji…

Read More

Kamishna: Nidhamu, uadilifu ni msingi wa polisi

Morogoro. Jumla ya askari 785 wa Jeshi la Polisi wamehitimu mafunzo ya uongozi mdogo katika Chuo cha Maofisa wa Polisi Kidatu, huku wahitimu hao wakitakiwa kuzingatia haki za binadamu, nidhamu na uadilifu wanapotekeleza majukumu yao ya kazi. Akizungumza wakati wa kufunga mafunzo hayo yaliyowahusisha askari wa vyeo vya Sajini Meja (SM), Sajini Staff (SSGT) na…

Read More

WANANCHI WAHAMASISHWA KUCHAMBUA NA KUREJELEZA TAKA KUELEKEA SIKU YA TAKA SIFURI DUNIANI

………. Dar es Salaam, Machi 20, 2026 Wananchi nchini wametakiwa kujenga utamaduni wa kuchambua taka ngumu majumbani na katika maeneo yao ya kazi, badala ya kuzitupa ovyo, ili kulinda mazingira na kuongeza thamani ya taka hizo kiuchumi. Wito huo umetolewa na Balozi wa Mazingira wa kujitolea nchini, Moses Mwakibolwa, wakati akizungumza kuelekea maadhimisho ya Siku…

Read More

Usafiri kikwazo ufuatiliaji elimu, mwarobaini watolewa

Unguja. Licha ya maendeleo ya elimu kuanza kuimarika Zanzibar, imebainika kuwa ukosefu wa usafiri kwa maofisa elimu wa mikoa na wilaya unashusha ufanisi, kutokana na kushindwa kufuatilia utendaji wa shule, hasa zile zilizopo maeneo ya vijijini. Kutokana na hali hiyo, Serikali imenunua pikipiki 15 kwa ajili ya maofisa wa wilaya na mikoa yote ya Zanzibar,…

Read More

Mwenyekiti wafanyabiashara Arusha ashikiliwa, Mbunge…

Arusha. Mkuu wa Wilaya ya Arusha (DC), Joseph Mkude amesema Polisi Mkoa wa Arusha linamshikilia Mwenyekiti wa Wafanyabiashara Wilaya hiyo, Dominic Mollel huku Mbunge wa Moshi Vijijini (CCM), Morris Makoi akitoa ushirikiano wa kumtafuta dalali anayedaiwa kuchukua mali za aliyekuwa mfanyabiashara katika moja ya maduka ya stendi ndogo Arusha, Josephine Shirima. Mwananchi imemtafuta mbunge huyo…

Read More

Nguvu ya jua katika ujenzi wa uchumi wa bluu

Kuna methali ya Kiswahili inayosema, “Samaki mkunje angali mbichi.” Tunaielewa vyema maana yake ni kushughulikia fursa au tatizo mapema kabla halijawa gumu. Leo, katika zama hizi za mabadiliko ya tabianchi na msukosuko wa kiuchumi, tunaweza kuitumia kuelezea jambo lingine: tunapaswa kukumbatia nishati mbadala mapema ili kuufikia ustawi wa bahari zetu, ambao tunauita “Uchumi wa Bluu.”…

Read More

SAME UTALII FESTIVAL YACHANGIA KUONGEZA WATALII HIFADHI YA MKOMAZI..

TAMASHA la Utalii la Same festival linalofanyika kila mwaka wilayani Same mkoani Kilimanjaro limetajwa kuwa chanzo cha kuchochea idadi ya wageni wanaotembelea hifadhi ya Taifa ya Mkomazi. Hayo yamebainishwa na Kaimu Mhifadhi wa hifadhi hiyo, Kamishna Emmanuel Sisiya katika uzinduzi wa tamasha hilo uliofanyika wilayani Same, ambapo alisema kuwa hapo nyuma wageni waliokuwa wakitembelea hifadhi…

Read More