Rais Samia atoa ujumbe wa siku ya wanawake duniani

Dar es Salaam. Rais Samia Suluhu Hassan amehimiza kuendeleza juhudi za kuhakikisha wanawake na wasichana wanapata haki na usawa ili kuchochea maendeleo jumuishi ya Taifa. Rais Samia ametoa wito huo leo Machi 8, 2026 katika ujumbe wake kwa Taifa wa  maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani, akieleza  siku hii ni muhimu kwa kutambua mchango mkubwa…

Read More

Ripoti yabainisha pengo uchimbaji endelevu Bulyanhulu, Barrick yajibu

Ripoti mpya ya utafiti imeibua taswira ya pande mbili katika sekta ya madini nchini, ikionesha mafanikio ya uwekezaji na uwajibikaji wa kampuni, lakini pia ikifichua mapengo ya ushirikishwaji wa jamii, uwazi wa taarifa na mifumo ya kushughulikia malalamiko. Ripoti hiyo iliyoandaliwa na HakiRasilimali kwa kutumia viwango vya kimataifa vya Towards Sustainable Mining (TSM), imechambua hali…

Read More

Chadema kibarua tena leo mahakamani Dodoma

Dar es Salaam. Mawakili wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) leo Jumanne, Machi 24, 2026 watakuwa na kibarua kingine kuishawishi mahakama wakati wa usikilizwaji wa mashauri manne yanayotokana na kesi ya madai ya mgawanyo wa rasilimali usio sawa kati ya Tanzania Bara na Zanzibar inayokikabili. Mashauri hayo ya mapitio yaliyopewa usajili wa maombi ya…

Read More

Mkuu wa Umoja wa Mataifa azindua ombi kuu la kibinadamu kutoka Lebanon iliyokumbwa na vita – Masuala ya Ulimwenguni

“Niko hapa kwa ziara ya mshikamano na watu wa Lebanon,” alisema alisema. “Mshikamano wa maneno lazima uendane na mshikamano katika vitendo. Msaada huu unahitajika haraka. Ongezeko la kijeshi katika eneo lote linaleta madhara makubwa, ikiwa ni pamoja na Lebanon. Katikati ya mzozo unaoendelea wa Mashariki ya Kati, mamia ya raia wameuawa – ikiwa ni pamoja…

Read More