DKT.HOMERA AKABIDHI MAGARI MAWILI TANESCO NAMTUMBO

Mbunge wa Jimbo la Namtumbo Dk Juma zuberi Homera Aprili 11, 2026, Amekabidhi rasmi magari mawili kwa Ofisi ya TANESCO wilayani Namtumbo, hatua inayolenga kuongeza ufanisi na kasi ya utoaji wa huduma ya umeme katika jimbo letu. Kupatikana kwa magari haya ni sehemu ya juhudi endelevu za kuboresha miundombinu na kuimarisha upatikanaji wa huduma muhimu…

Read More

Bares aondoka KMC, aweka imani kwa kocha ajaye

BAADA ya Kocha Abdallah Mohamed ‘Bares’ kufikia makubaliano ya kuachana na KMC, amesema anaamini mbadala wake atakuwa na jambo la kushauri ili kuhakikisha timu hiyo inasalia Ligi Kuu Bara kwa msimu ujao. Bares alisema siyo jambo jema kuizungumzia KMC kwa sasa baada ya kuondoka, lakini anachoamini bado ina nafasi ya kupambania malengo yake, akitumia kauli…

Read More

WAZIRI MKUU AONGOZA KIKAO CHA KUJADILI MAPENDEKEZO YA YA KUFANYA MABORESHO YA SHERIA YA MAPATO YA BAADHI TA MIFUKO

Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba leo Machi 11, 2026 ameongoza Kikao cha kujadili Mapendekezo ya kufanya Maboresho ya Sheria ya Mapato ya baadhi ya Mifuko kilichofanyika kwenye ukumbi wa Waziri Mkuu, Bungeni jijini Dodoma, Machi 11, 2026. Baadhi ya viongozi walioshiriki katika Kikao hicho ni pamoja na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera,…

Read More

Wabunge wataja mambo saba kupunguza makali ya bei ya mafuta

Dodoma. Wabunge wametoa ya moyoni kuhusu suala la mafuta wakitaja mambo saba ambayo yanaweza kupunguza makali hayo ili kutoa nafuu ya maisha kwa wananchi. Miongoni mwa mambo hayo ni kuuza akiba ya dhahabu ili kuongeza ruzuku kwenye mafuta, kuongeza uzalishaji wa gesi na kupunguza gharama, kuondoa baadhi ya tozo kwenye mafuta, kushughulika na madalali wa…

Read More

Mgombea wa CCM ashinda ubunge Peramiho

Songea. Mgombea ubunge wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Dk Lazaro Bunungu ameshinda katika uchaguzi mdogo wa ubunge Jimbo la Peramiho, kwa kupata kura 69,002 kati ya kura 79,720, sawa na asilimia 87 ya kura zote zilizopigwa. Akitangaza matokeo hayo, msimamizi wa uchaguzi mdogo wa ubunge Jimbo la Peramiho, Exavery Luyagaza amesema kwa mamlaka aliyopewa kwa…

Read More

VIJANA 168,657 WANUFAIKA MAFUNZO UANAGENZI

Serikali imesema itaendelea kuratibu na kuimarisha Sera, Sheria na Miongozo inayosimamia programu za Mafunzo ya Uanagenzi na kuhamasisha sekta binafsi kushiriki kikamilifu katika kutoa nafasi za mafunzo kwa vitendo kwa wanagenzi nchini. Waziri wa Nchi Ofisi ya Mkuu Kazi, Ajira na Mahusiano Deus Sangu amesema hayo leo Machi 03,2026 katika chuo cha ufundi stadi Daon…

Read More

Nida kubadili muundo vitambulisho vya Taifa

Dar es Salaam. Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (Nida) iko mbioni kuanza kutoa aina mpya ya Vitambulisho vya Taifa ambavyo vimeboreshwa na kuongezewa huduma nane ndani yake. Hayo yamesemwa na Mkurugenzi wa Uzalishaji wa Vitambulisho wa Nida, Edson Guyai katika mahojiano maalumu na Mwananchi yaliyofanyika Jumatatu, Februari 23, 2026. Wanufaika wa vitambulisho hivi vipya watakuwa…

Read More