SABA WAKAMATWA, WAWILI WAKIHUKUMIWA MIEZI SITA JELA KWA MADAI YA KUIBIWA NYETI ZAO
**** Jeshi la Polisi Mkoani Rukwa leo Jumatano Aprili 08, 2026 limetangaza kuwakamata Vijana saba katika Wilaya ya Sumbawanga Mkoani Rukwa, wawili kati yao wakipandishwa Mahakamani na kuhukumiwa kifungo cha miezi sita jela kila mmoja, kwa kudai kuibiwa nyeti zao suala ambalo si kweli na lilichochea wananchi kujichukulia sheria mkononi kwa kuwashambulia watu wasiokuwa na…