DG EWURA ASHIRIKI KIKAO CHA WADAU WAKUU WA MAFUTA NCHINI

********** Mkurugenzi Mkuu wa EWURA Dkt James Mwainyekule, leo, 4 Machi, 2026 ameshiriki kikao cha ngazi ya juu cha wamiliki wa kampuni za bidhaa za mafuta aina ya petroli nchini (OMCs) kilichoitishwa na Waziri wa Nishati Mhe. Deogratias Ndejembi (Mb) ili kujadili mikakati ya iliyowekwa na serikali kuimarisha hali ya upatikanaji wa mafuta hususani kipindi…

Read More

Shahidi aieleza Mahakama chanzo jengo la CCM kuchomwa moto

Dar es Salaam. Mkaguzi wa Polisi mwenye namba PF 20122, Jafari Nguli (49) ameieleza Mahakama jinsi alivyobaini chanzo cha moto uliyounguza na kuteketeza jengo la Chama cha Mapinduzi (CCM) Kivule, lililopo Kata ya Majohe, Wilaya ya Ilala. Nguli ambaye alikuwa mpelelezi mkuu katika kesi hiyo, amedai upelelezi wake ulibaini chanzo cha kuchoma jengo hilo kilitokana…

Read More

Ilichokisema CCM mbele ya mwakilishi wa UN

Dar es Salaam. Chama cha Mapinduzi (CCM) kimesema kitaendeleza dhamira yake ya  muda mrefu wa kuheshimu utawala wa sheria, kidemokrasia na ushiriki wa kisiasa kwa njia za amani. Hayo yamesemwa na Katibu Mkuu wa CCM, Dk Asha-Rose Migiro wakati akikiwakilisha chama hicho katika mazungumzo na Balozi Parfait Onanga-Anyanga, Mwakilishi Maalumu wa Katibu Mkuu wa Umoja…

Read More

Aliyekuwa DED Simanjiro afariki dunia

Simanjiro. Aliyekuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Simanjiro, Mkoa wa Manyara, Samwel Gunzah ambaye ni mfungwa amefariki dunia katika Hospitali ya Benjamin Mkapa, mkoani Dodoma. Gunzah alihukumiwa kifungo cha miaka 20 gerezani kwa kosa la rushwa na kutumia madaraka yake vibaya Septemba 18, 2025. Taarifa za kifo chake zilianza kusambaa mitandaoni hususan mkoani…

Read More