Ushuru wa kiraia unaongezeka, usumbufu wa kikanda unaenea Baraza la Usalama linapokutana – Masuala ya Ulimwenguni

© UNICEF/Dar al-Mussawir Wanafamilia wamepumzika barabarani huko Beirut, Lebanon, baada ya kutoroka nyumbani kwao kufuatia maagizo ya Israeli ya kuhama. Jumatano, Machi 11, 2026 Habari za Umoja wa Mataifa Huku mzozo wa Mashariki ya Kati ukiendelea kushuhudiwa katika eneo hilo, Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa linakutana leo kujadili hali inayozidi kuwa mbaya, na…

Read More

Vijana 6,000 kufanya kazi nje, Serikali kuwachongea njia

Dodoma. Serikali imesema licha ya kutoa fursa kwa vijana kupata mafunzo ya uanagenzi bila gharama, mwitikio bado ni hafifu. Hata hivyo, imetangaza mkakati wa kuwaunganisha zaidi ya vijana 6,000 katika fursa za kimataifa, ambapo awamu ya kwanza vijana 1,000 watakwenda kufanya kazi nchini Qatar. Kauli hiyo imetolewa Jumanne Machi 3, 2026 na Waziri wa Nchi,…

Read More

Jaji Mutungi amevunja ukimya mgogoro wa CUF

Dar es Salaam. Hatimaye, Msajili wa Vyama vya Siasa, Jaji Francis Mutungi, amevunja ukimya na kuzungumzia uongozi mpya wa Chama cha Wananchi (CUF) unaoongozwa na mwenyekiti, Mirambo Yusuf, huku akitaka wenye manung’uniko kufuata taratibu. Chama hicho kilifanya uchaguzi mkuu wa dharura kuanzia Februari 20, 2026, ili kupata uongozi mpya. Hata hivyo, matokeo ya uchaguzi huo…

Read More

KAMATI YA BUNGE YAMPA TANO RAIS SAMIA KWA MAKUMBUSHO YA JIOPAKI YA NGORONGORO LENGAI

……………….. Na Sixmund Begashe, Karatu Kamati ya kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imetaka Makumbusho mpya ya Urithi Jiopaki iliyopo katika mradi wa Jiopaki ya Ngorongoro Lengai Wilayani Karatu kutumika kama zao jipya la utalii litakaloongeza idadi ya siku kwa wageni wanaotembelea vivutio vya utalii hapa nchini.  Maelekezo hayo yametolewa na Mwenyekiti wa…

Read More

Zimamoto yasisitiza ukaguzi wa majengo

Dar es Salaam. Kaimu Kamanda wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Mkoa wa Kinondoni, Mrakibu Msaidizi wa Zimamoto, Jacob Chacha, amewahimiza Watanzania kuzingatia matakwa ya kisheria kwa kuomba ukaguzi wa majengo yao ili kujikinga na majanga ya moto. Ametoa wito huo wakati anazungumza na Mwananchi leo, Aprili 6, 2026, jijini Dar es Salaam kufuatia tukio…

Read More

Bei za mafuta juu, dizeli ikiongezeka bei mara mbili

Dar es Salaam. Watimiaji wa bidhaa za mafuta Tanzania wataendelea kuugulia maumivu ya ongezeko la bei baada ya Mamlaka ya Udhibiti wa Nishati na Maji (Ewura) kutangaza bei kikomo zitakazotumika Machi mwaka huu. Katika bei hizo, watumiaji wa mafuta ya dizeli wameshuhudia ongezeko la bei mara mbili zaidi ikilinganishwa na wale wa petroli na mafuta…

Read More

WAFANYAKAZI BARRICK BULYANHULU WAADHIMISHA SIKU YA WANAWAKE KWA KUWAPA FARAJA WATOTO WENYE MAHITAJI MAALUM BUPAMBA

Wafanyakazi Wanawake wa Barrick Bulyanhulu wakigawa zawadi mbalimbali na kuwafariji watoto wenye mahitaji maalum wanaosoma katika shule ya msingi ya wanafunzi wenye mahitaji maalum ya Bupamba iliyopo halmashauri ya Nyang’hwale mkoani Geita katika kuadhimisha Siku ya Wanawake Duniani Wafanyakazi Wanawake wa Barrick Bulyanhulu wakigawa zawadi mbalimbali na kuwafariji watoto wenye mahitaji maalum wanaosoma katika shule…

Read More