Chipukizi yashikilia hatma ya New Stone

WAKATI New Stone Town ikiwa na hali mbaya katika msimamo wa Ligi Kuu Zanzibar (ZPL), hivi sasa hatma yao ya kusalia katika ligi hiyo imeshikiliwa na Chipukizi. Hiyo inatokana na hesabu zilivyo kwani New Stone inayoburuza mkia katika msimamo wa ligi ikiwa na pointi tatu ikibakiwa na mechi nane, huku kituo kinachofuata ni dhidi ya…

Read More

Fei Toto abeba zigo kubwa Dar es Salaam Dabi

KIUNGO mshambuliaji wa Azam FC, Feisal Salum ‘Fei Toto’, kesho Jumapili anakutana na waajiri wake wa zamani Yanga katika mechi ya Ligi Kuu Bara huku akiwa na zigo zito linalomkabili. Nyota huyo ambaye huu ni msimu wa tatu anaitumikia Azam tangu alipojiunga nayo 2023-2024 akitokea Yanga. Kwa msimu huu, tayari Fei Toto amevunja rekodi yake…

Read More

BAADA YA SADC KUITAJA TANZANIA KINARA WA NISHATI SAFI YA KUPIKIA; KAMISHNA LUOGA ATAKA WATUMISHI KUKUZA MATUMIZI YA NISHATI HIYO

Kamishna wa Umeme na Nishati Jadidifu, Mhandisi Innocent Luoga amewataka Watumishi wa Wizara ya Nishati kuendelea kukuza matumizi ya nishati safi ya kupikia nchini ili kufanikisha ajenda hiyo  ambayo kinara wake ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe.Dkt. Samia Suluhu Hassan. Ameeleza kuwa ajenda ya nishati safi ya kupikia tayari imeanza kuonesha mafanikio…

Read More

Jina langu ni Dhaka – Masuala ya Ulimwenguni

na Mohammad Rakibul Hasan (dhaka, Bangladesh) Ijumaa, Machi 20, 2026 Inter Press Service DHAKA, Bangladesh, Machi 20 (IPS) – Jina Langu ni Dhaka ni filamu ya majaribio ya dakika moja inayoonyesha Dhaka kama chombo hai, kinachopumua na historia ya miaka 400. Kupitia sauti ya kuakisi, jiji linasimulia mabadiliko yake, migogoro na uthabiti. Inanasa utofauti kati…

Read More

Jeuri ya Barker Simba iko hapa!

KOCHA Mkuu wa Simba, Steve Barker siku zinavyozidi kwenda, anapata jeuri kubwa ya kuendelea kufanya vizuri na kikosi hicho akiamini kina nafasi kubwa ya kufikia malengo msimu huu. Jeuri ya Barker inakuja kwa kile alichoeleza kwamba, kikosi chake kinazidi kuimarika hali ambayo inampa wakati mzuri wa kuandaa timu ya kucheza na mpinzani yeyote huku akisema…

Read More

WANANCHI ZAIDI YA 13,000 WANUFAIKA NA SAMIA ARDHI KLINIKI NCHINI

Na Munir Shemweta, WANMM MTWARA Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Leonard Akwilapoamesema jumla ya wananchi 13,550 wamejitokeza kupata huduma mbalimbali za sekta ya ardhi kupitia Samia Ardhi Kliniki iliyofanyika katika mikoa yote 26 nchini. Dkt. Akwilapo amesema hayo wakati akifunga rasmi Samia Ardhi Kliniki katika viwanja vya Mashujaa mkoani Mtwara tarehe 7…

Read More

ALIPWA FIDIA YA SH. 7M KWA KUHARIBIWA JIKO, UKUTA

*Ni baada ya kueleza kero yake kwa Waziri Mkuu JITIHADA za Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba kusikiliza kero za wananchi zimezaa matunda ambapo mkazi wa Kata ya Baraa jijini Arusha, Bi. Agnes Simon Laizer alilipwa fidia ya sh. milioni 7 na mmiliki wa shule ya Nariva Hill (jirani yake) ambaye alikuwa ameharibu jiko na ukuta…

Read More