‘Piga nikupige’ yashika kasi Mashariki ya Kati
Dar es Salaam. Mashambulizi makali yameendelea kufanyika Mashariki ya Kati ambapo nchi zinazohusika moja kwa moja katika mapigano hayo zikishambuliana kwa majibizano. Nchi za Marekani na Israel zilianzisha mashambulizi hayo dhidi ya Iran, nchi ambayo nayo haikusita kulipiza kisasi kwa kuishambulia Israel moja kwa moja na kuzilenga mali za Marekani zilizopo katika ukanda huo. Hadi…