Kigogo Mbeya City ashusha presha, asisitiza jambo

ACHANA na matokeo ya ushindi wa 3-2 waliopupata Mbeya City dhidi ya KMC, uongozi wa Halmashauri ya Jiji la Mbeya umesema timu hiyo itarejesha makali yake licha ya kutoanza vyema Ligi Kuu Bara msimu huu. Mbeya City inamilikiwa na Halmashauri hiyo na haikuwa na mwanzo mzuri kwenye ligi na kuweka presha kwa mashabiki kuikatia tamaa…

Read More

Viongozi wajitokeza maziko ya Kardinali Pengo, Pugu

Dar es Salaam. Dar es Salaam. Viongozi mbalimbali wa kitaifa wamejitokeza kushiriki mazishi ya Askofu Mkuu mstaafu wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, Marehemu Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo, yanayofanyika katika Kituo cha Hija ya Bikira Maria, Pugu, jijini Dar es Salaam. Ibada ya Misa Takatifu ya mazishi inaongozwa na viongozi wa Kanisa Katoliki,…

Read More

NELLA ANNOUNCES NEW SINGLE “LUKAKU” — THE AFROFUSION ANTHEM THAT POSITIONS HER AS ONE TO WATCH

Cameroon-born, LA-raised Afrofusion artist releases her most personal work yet — a mid-tempo empowerment anthem produced by acclaimed producer Mystro Sugar and mixed by Grammy-nominated mixing engineer Giggz LOS ANGELES, CA — March 6, 2026 — Nella, the Cameroonian-born, Bamiléké Afrofusion artist raising from Los Angeles and Houston, today announces the release of her new…

Read More

Safari ya mjamzito aliyebebwa kwa machela kwenda kujifungua aeleza maumivu, ushujaa na furaha

Kilolo. Nadhani tunakumbuka picha ya mama mjamzito kutoka Kiwalamo, wilayani Kilolo, aliyebebwa kwa machela na wanakijiji akiwa katika uchungu wa kujifungua kutokana na barabara mbovu hadi Hospitali ya Dabaga kwenda kujifungua. Hii ni simulizi ya kishujaa ya Zaineth Kipingi, mama wa Moreen, aliyejifungua kwa mara ya kwanza Juni mwaka huu akibebwa kwenye machela kutoka Kiwalamo…

Read More

Fahamu Mambo Muhimu Yasiyotakiwa Kupuuzwa Katika Gari Lako

Global Publishers March 12, 2026 0 Comments Kila mmiliki wa gari anapaswa kuwa makini na alama ndogo ndogo zinazoweza kuashiria matatizo makubwa yanayoweza kusababisha ajali au gharama kubwa za matengenezo. Kupuuza tatizo dogo leo inaweza kumaanisha tatizo kubwa kesho. Hapa kuna mambo muhimu yasiyotakiwa kupuuzwa kwenye gari lako: 1️⃣ Breki – Moyo wa UsalamaBreki ni…

Read More