Ulaji wadudu unavyopata umaarufu | Mwananchi

Dar es Salaam.  Katika dunia inayokabiliwa na changamoto za uhaba wa chakula na lishe duni, wataalamu wa afya na lishe wameendelea kuangazia ulaji wa wadudu kama suluhisho mbadala lenye manufaa makubwa kiafya.  Ingawa kwa baadhi ya jamii ulaji wa wadudu bado huonekana kuwa jambo geni, ukweli ni kwamba kwa muda mrefu wadudu wamekuwa sehemu ya…

Read More

Mfanyabiashara Arusha aendelea kushikiliwa, Bunge laombwa idhini

Arusha. Mwenyekiti wa Wafanyabiashara Wilaya ya Arusha, Dominic Mollel, anaendelea kushikiliwa na Jeshi la Polisi, huku jitihada za kumpata mbunge wa Moshi Vijijini (CCM), Morris Makoi, zikitarajiwa kutua kwa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Februari 24, 2026, mbele ya Waziri Mkuu, Dk Mwigulu Nchemba, mfanyabiashara Josephine Shirima alidai mbunge huyo na…

Read More

Straika JKU akoleza ZPL moto mbio za ubingwa

SAFU ya ushambuliaji ya timu ya JKU inayoshiriki Ligi Kuu Zanzibar (ZPL) imeendelea kujiwekea mikakati kabambe kuhakikisha taji linarudi msimu huu. Akizungumza na Mwanaspoti, mshambuliaji wa timu hiyo, Feisal Hilali Nassor amesema JKU ipo Ligi Kuu Zanzibar kwa ajili ya kupambania ubingwa na sio kushiriki. Alisema ndio maana kila mchezaji wa timu hiyo kipaumbele chake…

Read More

Mataifa yaahidi $3.9bn kwa Kituo cha Mazingira Duniani kama Mbio za Kutimiza Malengo ya 2030 Yanaimarika – Masuala ya Ulimwenguni

Shirika la Global Environment Facility (GEF) lilitangaza kwamba nchi wafadhili ziliahidi kutoa dola bilioni 3.9 za awali kwa kituo hicho kwa mzunguko wa tisa wa kurejesha tena, ikionyesha kwamba asili inabakia kuwa kipaumbele, kama ilivyo kwenye picha hii, ambapo timu ya mifugo huweka kola kwa tembo aliyetulia katika KwaZulu-Natal inayolenga mradi wa uhifadhi wa wanyama…

Read More