Aucho mambo safi Singida BS, rasmi arejea kazini

UONGOZI wa Singida Black Stars, umetangaza kumsamehe kiungo wa timu hiyo, Khalid Aucho na kumrejesha kazini kuanzia leo Machi 5, 2026 baada ya kufanyika kwa majadiliano na tathmini ya kina kufuatia tukio lililotokea wakati wa mazoezi ya timu. Februari 27, 2026, uongozi wa Singida Black Stars ulitangaza kumsimamisha Aucho kwa miezi mitatu kwa tuhuma za…

Read More

Fountain Gate yamuweka kando Laizer

IMEELEZWA Fountain Gate imemuweka kando kwa muda kocha wa kikosi hicho, Mohamed Ismail ‘Laizer’ kutokana na mwenendo usioridhisha wa matokeo ya timu hiyo. Hatua hiyo imekuja mara baada ya kupoteza mchezo uliopita wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Dodoma Jiji kwa mabao 3-0 uliochezwa Aprili 3, mwaka huu mkoani Singida na taarifa zinasema kocha huyo…

Read More

Simba, Yanga zapigana vikumbo saini ya Fofana

YANGA jana usiku ilikuwa Uwanja wa Benjamin Mkapa ikipambana kwenye Dar es Salaam Dabi dhidi ya wenyeji wa Azam FC lakini kuna vurugu mabosi wao wameifanya nchini Ivory Coast itakayomfanya mtani wake Simba kujipanga sawasawa kivita. Mabosi wa Yanga wamevamia pale ASEC na wamepima maji na kuona yule mshambuliaji Souleyman Fofana anawafaa kwa matumizi ya…

Read More

MODULI YA RUFAA KUBORESHA MNYORORO WA UGAVI

 Mamlaka ya Rufani ya Zabuni za Umma (PPAA) imesema ujenzi wa moduli ya kupokea na kushughulikia malalamiko na rufaa katika mfumo wa NeST utachangia kuongeza uwajibikaji, uwazi na ufanisi kwenye mnyororo wa ugavi. Katibu Mtendaji wa PPAA, Bw. James Sando amebainisha hayo wakati wa uzinduzi rasmi wa Sera Taifa ya Usimamizi wa Mnyororo wa Ugavi…

Read More

Chuo cha Aga Khan chatoa mafunzo ya malezi bora kwa watoto

Arusha. Katika kuimarisha malezi na makuzi bora kwa watoto, Chuo Kikuu cha Aga Khan (AKU) kimeendesha programu maalumu za kuwajengea uwezo wadau mbalimbali, wakiwamo wawakilishi wa asasi za kiraia zinazojihusisha na maendeleo ya awali ya mtoto. Mradi huo wa mafunzo kuhusu sayansi ya malezi na makuzi ya maendeleo ya awali ya watoto umefanyika leo, Jumamosi,…

Read More